Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Asante kwa kuniita Zuzu utatukana sana maana ukweli unauma mno.Ndugu yangu ulisema Wakimbizi kutoka Iraq, Iran ana Afghanistan hawasaidiwi na UNHCR leta ushahidi ? Nimeongea facts. Hao wapalestina washasaidiwa sana toka miaka hiyo walikuwa na uwezo wa kupewa uraia Marekani na Ulaya. Wakifika huku wanaweka miguu juu ndio madereva taksi na Mabasi.Umeanza kudhihirisha uzuzu wako kwa kuanza kujibu kwa jaziba na kashifa.
Sasa kwenye suala la sifa za wakimbizi mambo ya suala tano yametoka wapi?
Hapa tunaongelea vita ya siku sita au tunaongelea sifa ya wakimbizi?
Wakimbizi wote wa Ukraine walioko nchini Urusi hawapati masaada wowote kutoka UNHCR bali wana hudumiwa na serikali ya Urusi labda walio kimbilia nchi nyingine.
Wakimbizi wa kipalestina wa hawapati masaada wowote kutoka UNHCR bali wana shirika lao linalo jitegemea.
Alafu kwanza hizo kazi unazo fanya huko Ujerumani unazifanya saa ngapi? maana kila dk uko humu unaandika pumba tu.
Huku baada ya Corona watu kuna Hybrid-work . Nimeona niongelee vita ya siku sita maana naona unachukulia wayahudi wajinga. Dunia haina huruma Wapalestina wana haki lakini wakae kimya wachutame. Usichokoze nyigu wakati huna nguvu ya kukimbia. Wapalestina inabidi wawe na malengo ya muda mrefu. Mipango ya kuanzisha Taifa Israel ilianza 1897 na Israel ikawa taifa 1948. Ukifuatilia wapalestina toka mwaka 1948 mbinu zao ni zile zile huku wa- Israel wana irone- dome. Oktoba 7 waarabu walifurahi leo hii ukiingia mitandaoni wanaomba wayahudi wasimamishe vita. Mimi siandiki Pumba naongea facts. Unakaa unatafuta taarifa zinazoendana na mawazo yako wewe unakuja ku-post hapa.