Case Study: Kaka Yangu hana marafiki hata wa kumtembelea, ni super introvertm Baba alimlea kwa namna aliyodhani itamlinda kumbe ni kumletea matatizo

Hii ni tabia tu hata mngeachiwa huenda asingekuwa anajichanganya.

Watoto wanafungiwa ndani na mbwa wakali na bado unaambiwa mwanao J2 kaonekana kibaha huko ni mcheza mpira, ukija kufuatilia ndiye kapten wa timu baba hujui hata kama ni mchezaji.
Ndie mimi huo nilianza kwenda nje huko kucheza mpira, mzee alikuwa ananitandika sana hadi akachoka
 
Reactions: Tsh
Ni tatizo sana mtoto kudhani anajua kujilea kuliko anavyolelewa na wazazi wake!! Bila shaka bado anayedai alijinasua kusema kweli ndiye aliyejinasa, ni suala la muda tu!!
 
Ni tatizo sana mtoto kudhani anajua kujilea kuliko anavyolelewa na wazazi wake!! Bila shaka bado anayedai alijinasua kusema kweli ndiye aliyejinasa, ni suala la muda tu!!
vitu vinahitaji kiasi chake, ukizidisha unaharibu,

Maisha ni kama baiskeli, unapomfundisha mtoto kuiendesha kuna muda unamshika kuna muda unamwachia kidogo, akitaka kudondoka unamshika, ivo ivo mpaka huku ukubwani tayari anajua kuendesha baiskeli bila kushikiliwa,
 
This is me and i love it
 
Usidhani kuwa extrovert ni mchongo, marafiki ni wakuda tu kwanza wangu wengi ni majobless maanina
 
Hii ni tabia tu hata mngeachiwa huenda asingekuwa anajichanganya.

Watoto wanafungiwa ndani na mbwa wakali na bado unaambiwa mwanao J2 kaonekana kibaha huko ni mcheza mpira, ukija kufuatilia ndiye kapten wa timu baba hujui hata kama ni mchezaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaaaa
 
Reactions: Tsh
Somo zuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…