Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.
Kafiri na wewe mna tofauti? Dini za wafuga madevu bhana shari tupu
 
Hivi usislamu ni dini au uhuni wa binadamu kuwatesa wengine kwa kuwapa Sheria Kali wakati wao hawaishi
 
Iss
Basi nisamehe ndugu yangu. Haupo kwenye kundi lolote hapo, tusiingize wazazi kamanda.
ussue ni kwamba.kwenye UKRISTO ukishaoa ndo jela hiyo,ata mke akiwa jeuri,kwa waislam,mke akileta mambo ya beijing anapigwa chini faster!!
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku suala la mahusiano wapo wanaoishi na wanawake bila ndoa wengine ni mwendo wa kubadili tu.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.

Kuhusu suala la mahari nimeweka hayo makundi mawili kwa maksudi maan hawa wengi kwa hali zao za uchumi pesa ya mahari hata iwe milioni 3 si jambo la kuwaumiza vichwa , Katika shirika nalofanya ni karibu vijana 80% vijana wanabadili simu bei ghali tena ni za dukani, achana na hizi refurbished, wana magari yanayopiga mafuta, kutumia elf 50 kwa siku hasa wale wa viti virefu ni kawaida. Tukija kwa wale niliohitimu nao tukiachana na ambao uchumi wao ni wazi unasua sua wanaweza kujitetea, wapo walioajiriwa kwenye kazi zenye ulaji mrefu na wapo wafanyabiashara wanapiga deals nzuri tu, suala la mahari kwao haliwezi kuwaumiza vichwa lakini bado wanakwepa ndoa..
Vijana wengi wa kiislam wanaoa mwezi wa ramadhani wanapikiwa futari mwezi ukiisha taraka wanasubiri mwakani waoe tena
 
Iss

ussue ni kwamba.kwenye UKRISTO ukishaoa ndo jela hiyo,ata mke akiwa jeuri,kwa waislam,mke akileta mambo ya beijing anapigwa chini faster!!
Hiyo ni moja ya sababu japo sio sole conclusive reason. Bila ya kuweka udini katika hili mi nadhani sisi wenyewe tunapaswa tujiulize: -
  • Je dini inapaswa kumpeleka mtu karibu na dhambi ama imrahisishie kuiepuka?
  • Pia tujiulize hii sheria imetoka kwa Mungu ama ni mtazamo wa mwanadamu?

Uislamu ndo dini pekee ambayo ipo practical katika kukemea zinaa. Ndoa imerahisishwa na imewekewa guidance ya wazi jinsi ya kuiendea na kuivunja. Ni kawaida sana kwa dini nyengine vijana kwenda kujitambulisha kwa wazazi wao kuwa wamefahamiana vya kutosha na mwenza wake na sasa wanataka kufunga ndoa. Kimsingi ndoa hufuata baada ya mahusiano ya hawa watu kwa kigezo cha eti kufahamiana kwanza (hii ni loophole ya hawa watu kuzini na dini haija-address practically hii loophole). Haihitaji darubini kuona kuwa kuna mahusiano mengi yaliishia njiani kabla ya hawa watu kufikia maamuzi ya pamoja ya kuoana.

On the other hand, Uislamu umekataa mahusiano ya watu wawili kwa kigezo cha kufahamiana kabla ya ndoa, hata binti uliyemtoloea mahari pia hupaswi kukaa nae bila uwepo wa walii wake (practically ina discourage zinaa hapa).

Yapo mengi ya kusema hapa lakini naona tuishie hapa tu.
 
Ndoa ni hitaji la Kiimani zaidi kwa wenye Imani ya dini zote iwe Muislamu ama Mkristo.

Wenzetu Waislamu ndoa imerahishishwa mno, kuanzia kwenye kuoa hadi Kuachana.

Nina rafiki yangu, alimwacha Mke wake kwa Kumwambia Nakuacha mara 3 na Mke akawa ameachwa.
Kwa hiyo akamwambia Nakuacha, nakuacha, nakuacha. Ikawa imeisha hiyo😀😀
 
Kwa hiyo akamwambia Nakuacha, nakuacha, nakuacha. Ikawa imeisha hiyo😀😀
Hahaha................wao ni suala la kusema nakuacha x3, Binti wa watu anabeba kilicho chake anarudi kwao 🤗
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku suala la mahusiano wapo wanaoishi na wanawake bila ndoa wengine ni mwendo wa kubadili tu.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.

Kuhusu suala la mahari nimeweka hayo makundi mawili kwa maksudi maan hawa wengi kwa hali zao za uchumi pesa ya mahari hata iwe milioni 3 si jambo la kuwaumiza vichwa , Katika shirika nalofanya ni karibu vijana 80% vijana wanabadili simu bei ghali tena ni za dukani, achana na hizi refurbished, wana magari yanayopiga mafuta, kutumia elf 50 kwa siku hasa wale wa viti virefu ni kawaida. Tukija kwa wale niliohitimu nao tukiachana na ambao uchumi wao ni wazi unasua sua wanaweza kujitetea, wapo walioajiriwa kwenye kazi zenye ulaji mrefu na wapo wafanyabiashara wanapiga deals nzuri tu, suala la mahari kwao haliwezi kuwaumiza vichwa lakini bado wanakwepa ndoa..
Tukianza na wewe umeoa? kama haujaoa sababu ni zipi zilizokufanya usioe ili hali umesema class mate wako ambao ni waislamu wameshaoa?
 
Back
Top Bottom