Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

Haahaa jaman! Uzi wangu wa ulaya ulifutwa sijui mods hawatak niende? Na mfadhili wa ulaya hajajitokeza bado
 
Umeandika vema sana
 
Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.

CHADEMA imeimarika kwa maamuzi haya.

Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Ni maamuzi sahihi yenye akili, busara na yenye kuzingatia katiba ya chama.
 
Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.

CHADEMA imeimarika kwa maamuzi haya.

Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Watu wanaulizia kuhusu Mbunge wa 20, ambaye si wa Viti Maalum. Mbunge wa Nkasi Kusini Aidani Khenan.

Pia, hawa 19 wakiomba msamaha ndiyo nanubunge wanajitoa? Au wanaomba msamaha huku wanaendelea ubunge?
 
Niseme kweli Halima Mdee ameuvunja moyo wangu, lkn Mbowe ameuinua
Ila Halima Mdee ni kama vile siamini alichokifanya

safi kabisa
 
Watu wanaulizia kuhusu Mbunge wa 20, ambaye si wa Viti Maalum. Mbunge wa Nkasi Kusini Aidani Khenan.

Pia, hawa 19 wakiomba msamaha ndiyo nanubunge wanajitoa? Au wanaomba msamaha huku wanaendelea ubunge?
hakuna kuendelea na ubunge
 
Hawa mamodereta sijui wamekuwaje siku hizi. Wamenifungia mara 3 katika mwezi 1! Moja nilindika kuhsu kula koni ya ukwaju. Akili yao ilivyombovu wakafikiria matusi wakati mi naanisha koni za ukwaju za Bhakressa.

Vipi Botswana huku? Ama haupapendi? Mwezi wa 4,5,6 hivi kuna kuwa na baridi kama Ulaya tu.
Haahaa jaman! Uzi wangu wa ulaya ulifutwa sijui mods hawatak niende? Na mfadhili wa ulaya hajajitokeza bado
 
Hata kwa uchaguzi mdogo haiwezekani, wamwondoe nani wakati wote ni wao?
Watakachofanya ni kulazimishia tu kuwa ni wabunge wa CHADEMA, kwamba utaratibu wa kuwafukuza uanachama haujafuata sheria
 
Mbowe amekua kisiasa sasa na atakapokomaa tutacheka wote
Lyatonga Mrema alikua zaidi ya Freeman Mbowe na Freeman Mbowe atakua zaidi ya Lyatonga Mrema.
Ni swala la muda tuu
Mku Itikadi inashi Rohoni kama ilivyo Imani unayoishi ww.
Kumbuka Chadema imekeza kwa Wanachama sio kwa Mtu.
Mfano anangalia pale chadema changamoto raia hujitoa kwa ajili hicho chama kwa njia ya Michango na misaada mingine.
Sawa mwanaccm mwenzangu bila upinzani tutapiga usingizi wa kusifia watu badala ya chama kilichowambeba hao watu
 
Kweli kabisa
 
Usaliti ni jini, ukiishalitambua ndani ya nyumba yako,hakuna usalama kabla hujalimaliza na kuliondoa.
 
Usaliti ni jini, ukiishalitambua ndani ya nyumba yako,hakuna usalama kabla hujalimaliza na kuliondoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…