BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Huyu binti anayejiita Catherine Kahabi ni nani? Ametoka wapi?
Nimemuona mara kadhaa akiwa na Harrison Mwakyembe na anaonekana ni mtu mwenye jazba sana, anafoka na kutetema kwa fujo.
Mpaka sasa nimemfuatilia kwa kina lakini sijaelewa hasa anazungumza kuhusu nini! Ni kama amerukwa na akili au mtu aliyeachika kwenye uchumba.
Juzi juzi nilimuona anafoka kweli kweli mpaka waandishi wa habari wakatoka baru kwa kuhofia kung'atwa na mijino ya huyu binti mwenye ghadhabu.
Kwani ana cheo gani huyu huko Tanganyika? Ni waziri au mtetezi wa demograsia?
Anaonekana ana munkari mkali, anabwata hovyo huku akiambatanisha takwimu za kubumba na kutoa vitisho visivyo na uzito wa hoja.
Naagiza wanajeshi wa Tanganyika wamkamate huyu. Atakuja kudhuru watu.
Kule kubwata kama ng'ombe atakuja kung'ata watu na kuwasababishia TETENUS au corona.
Kwani ana elimu gani? Ameishia la ngapi?