Catherine Kahabi ni nani na ametoka wapi?

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
6,373
Reaction score
16,073
Huyu binti anayejiita Catherine Kahabi ni nani? Ametoka wapi?

Nimemuona mara kadhaa akiwa na Harrison Mwakyembe na anaonekana ni mtu mwenye jazba sana, anafoka na kutetema kwa fujo.

Mpaka sasa nimemfuatilia kwa kina lakini sijaelewa hasa anazungumza kuhusu nini! Ni kama amerukwa na akili au mtu aliyeachika kwenye uchumba.

Juzi juzi nilimuona anafoka kweli kweli mpaka waandishi wa habari wakatoka baru kwa kuhofia kung'atwa na mijino ya huyu binti mwenye ghadhabu.

Kwani ana cheo gani huyu huko Tanganyika? Ni waziri au mtetezi wa demograsia?

Anaonekana ana munkari mkali, anabwata hovyo huku akiambatanisha takwimu za kubumba na kutoa vitisho visivyo na uzito wa hoja.

Naagiza wanajeshi wa Tanganyika wamkamate huyu. Atakuja kudhuru watu.

Kule kubwata kama ng'ombe atakuja kung'ata watu na kuwasababishia TETENUS au corona.

Kwani ana elimu gani? Ameishia la ngapi?
 
Attachments

  • Screenshot_20240508-230340.jpg
    Screenshot_20240508-230340.jpg
    29 KB · Views: 37
Kakukera nini mbona unamtolea povu jingi, au ni kwa kuwa alitishia kutaja orodha ya wanachama wa chama lenu kuanzia ngazi ya taifa, wilaya hadi kijiji? Kama we humjui ni nani sie wengine tutamjuaje?
Kwani ana cheo gani huko Tanganyika?

Kwa mamlaka yepi anabwata kiasi hicho?

Aking'ata watu itakuwaje?
 
Huyu binti anayejiita Catherine Kahabi ni nani? Ametoka wapi?

Nimemuona mara kadhaa akiwa na Harrison Mwakyembe na anaonekana ni mtu mwenye jazba sana, anafoka na kutetema kwa fujo.

Mpaka sasa nimemfuatilia kwa kina lakini sijaelewa hasa anazungumza kuhusu nini! Ni kama amerukwa na akili au mtu aliyeachika kwenye uchumba.

Juzi juzi nilimuona anafoka kweli kweli mpaka waandishi wa habari wakatoka baru kwa kuhofia kung'atwa na mijino ya huyu binti mwenye ghadhabu.

Kwani ana cheo gani huyu huko Tanganyika? Ni waziri au mtetezi wa demograsia?

Anaonekana ana munkari mkali, anabwata hovyo huku akiambatanisha takwimu za kubumba na kutoa vitisho visivyo na uzito wa hoja.

Naagiza wanajeshi wa Tanganyika wamkamate huyu. Atakuja kudhuru watu.

Kule kubwata kama ng'ombe atakuja kung'ata watu na kuwasababishia TETENUS au corona.

Kwani ana elimu gani? Ameishia la ngapi?
Anawasumbua sana ninyi mashoga
 
Kwani ana cheo gani huko Tanganyika?

Kwa mamlaka yepi anabwata kiasi hicho?

Aking'ata watu itakuwaje?
ang'ate watu kwa kosa lipi? Mbona mwenzako cocastic si machachari kama wewe? Yeye ni mtu wa kucheka tu hata akiudhiwa. Muulize mwakyembe huyo mtu ana cheo gani sie hatujui, tunaona anawapiga mkwara kuwa ana orodha ya chama lenu nchi nzima na atawataja
 
mbona kama mzee mdee alikua anapiga hii pisi?
labda kwa sasa ameokoka na hvyo ana pingana na laana hz... ni kama zaman SAUL baada ya kukutana na Yesu akabadilishwa na kuwa MTUME PAUL, kisha yae aliyokua anayafanya akageuka na kuanza kupambana nayo na kumtetea kristo, nami naamini hata wana lgbtq+ mna nafasi ya kukutana na Kristo Yesu akabadili hali zenu na mkaachana na urithi wa sodoma na gomorah ambao ni laana. man for woman, woman for man. and not any otherwise.
 
Yaani Hadi alichora tattoo ya jina la mdee mkononi ambapo mahaba yalikuwa moto..Leo yuko front kupinga LGBT
laah hauullah toba! Alichora tattoo ya jina la mdee mkononi? Unataka kusema mdee ni mwanachama wa chama hilo?
 
mbona kama mzee mdee alikua anapiga hii pisi?
labda kwa sasa ameokoka na hvyo ana pingana na laana hz... ni kama zaman SAUL baada ya kukutana na Yesu akabadilishwa na kuwa MTUME PAUL, kisha yae aliyokua anayafanya akageuka na kuanza kupambana nayo na kumtetea kristo, nami naamini hata wana lgbtq+ mna nafasi ya kukutana na Kristo Yesu akabadili hali zenu na mkaachana na urithi wa sodoma na gomorah ambao ni laana. man for woman, woman for man. and not any otherwise.
mzee mdee ni mwanachama wa chama hilo!,? Acheni utani
 
Huyu binti anayejiita Catherine Kahabi ni nani? Ametoka wapi?

Nimemuona mara kadhaa akiwa na Harrison Mwakyembe na anaonekana ni mtu mwenye jazba sana, anafoka na kutetema kwa fujo.

Mpaka sasa nimemfuatilia kwa kina lakini sijaelewa hasa anazungumza kuhusu nini! Ni kama amerukwa na akili au mtu aliyeachika kwenye uchumba.

Juzi juzi nilimuona anafoka kweli kweli mpaka waandishi wa habari wakatoka baru kwa kuhofia kung'atwa na mijino ya huyu binti mwenye ghadhabu.

Kwani ana cheo gani huyu huko Tanganyika? Ni waziri au mtetezi wa demograsia?

Anaonekana ana munkari mkali, anabwata hovyo huku akiambatanisha takwimu za kubumba na kutoa vitisho visivyo na uzito wa hoja.

Naagiza wanajeshi wa Tanganyika wamkamate huyu. Atakuja kudhuru watu.

Kule kubwata kama ng'ombe atakuja kung'ata watu na kuwasababishia TETENUS au corona.

Kwani ana elimu gani? Ameishia la ngapi?
Hii nchi wanafki ni wengi sana , ni kama watu wote wanavyojifanya hawaendi kwa waganga ila kisirisiri wengi wana waganfa wao ila ukiwakuta kanisani au miskitini wanavyowaponda waganga hutoamini na hiyo ndio dunia
 
Noma sana.

Anavyofoka sasa, kumbe na yeye kaolewa na jike lenzake! 😹
 
mbona kama mzee mdee alikua anapiga hii pisi?
labda kwa sasa ameokoka na hvyo ana pingana na laana hz... ni kama zaman SAUL baada ya kukutana na Yesu akabadilishwa na kuwa MTUME PAUL, kisha yae aliyokua anayafanya akageuka na kuanza kupambana nayo na kumtetea kristo, nami naamini hata wana lgbtq+ mna nafasi ya kukutana na Kristo Yesu akabadili hali zenu na mkaachana na urithi wa sodoma na gomorah ambao ni laana. man for woman, woman for man. and not any otherwise.
Hahahaa.
 
Back
Top Bottom