Pre GE2025 Catherine Magige: Luhaga Mpina ni mtu wa ovyo ambaye haamini uongozi wa mwanamke

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya mabumunda yanatuchelewsha kupata katiba mpya
 
Huyu kahaba anatafuta uteuzi
 
CCM hawawezi kukaa meza moja na watu waelewa na wenye akili kama Mpina,wao wanataka watu mambumbumbu,wajinga na wasiokuwa na akili ili wanapofanya mambo yao ya hovyo wawapigie makofi.
 
Hawajajifunza kitu kutoka kwa Magufuli hawa watu kwenye uongozi.

Katiba ya CCM ina kamati ya usalama na maadili kuanzia ngazi za tawi kwenda juu.

Inakuwaje mwanachama (tena prominent) kwa nafasi yake ya ubunge awe anaishambulia serikali kila siku bila ya kuitwa kamati ya maadili na kupewa onyo.

Mambo aliyokuwa akifanya Magufuli na Bashiru ndio njia ya kuwaweka wanachama kwenye mstari. Sasa kwanini katika ya CCM ikataka kuwe na kamati za maadili katika ngazi tofauti iwapo wanachama wanaruhusiwa kuwa na utovu wa nidhamu.

Shida ya Mpina chumvi nyingi sana kwenye malalamiko yake, mpaka anakuwa aeleweki anacholalamikia. Waanze kufanyiana ‘psychometric tests’ huko CCM kabla ya kuwapa watu nafasi.

Magufuli alikuwa anafanya mambo ambayo watanzania awajazoea, ila ni utaratibu wa kawaida kwengine duniani.
 
Malaya huyu anatetea teuzi za viti maalum 2025, Uchawa ni jambo baya sana
 
CCM hawawezi kukaa meza moja na watu waelewa na wenye akili kama Mpina,wao wanataka watu mambumbumbu,wajinga na wasiokuwa na akili ili wanapofanya mambo yao ya hovyo wawapigie makofi.
Nakuunga mkono kwa 100%
 
Wacha migambo waruke na kukanyagana
 
mimi mwenyewe sitaki kusikia mwanamke ananiongoza inawezekanaje january kuna mgao wa umeme wakalee watoto huko mama yenu ni dhaifu kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…