Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume "patriarchy"

Hao wanawake waligombea? Sikuwaona
 
Umenena ukweli kabisa mzee.
 
Hao wanawake waligombea? Sikuwaona
Swala sio wanawake kugombea kwan hapo sisi tupo interested na kuona mwanamke au kupata kiongozi anayeweza kazi,why mambo ya kike yawe ajenda Sasa,wanapenda sana kubebwa hawa wasenge.
 
W
Mbona wamarekani hamjawasema na ndo mnao tuambia tuwaige Kila siku,wao wanemkataa mwanamke mara 2 ,mke wa Clinton na juz Kamara
Wamarekani wanajua kuwa hiyo itakuwa ni bonge la kosa.
 
Nina uhakika hujamsikiliza au hata kufuatlia story yake, uchaguzi wa Njombe, Kanda ya Nyasa.

Hana mpinzani Njombe, lakini hata kura ya kupigiwa yeye kama mgombea pekee ndio au hapana ulivurugwa na watu walioletwa kufanya fujo.
Team Lisu huwa hamuishiwi double standard, Yani mnapinga kila siku mgombea kupita bila kupingwa nchi yenye wananchi milioni 60, halafu anajitokeza mtu anaongea kama chiriku, mankubali bila hata kijiuliza inakuwaje Njombe nzima awe yeye tu?

Chama kama chadema huwezi kukosa mtu wa kushindana naye huo ni ubabaishaji, hata ningekuwa mimi ningekataa.

Mgombea anapotengeneza mikakati ya kupita bila kupingwa ndani ya chama lazima achunguzwe, hatuwezi kuwa na taasisi inamsikiliza mtu mmoja bila kufanya utafiti halafu inatoa maamuzi.

Chadema tunapinga swala la mgombea kupita bila kupingwa nchi hii yenye watanzania milioni 60, halafu anjitokeza mtu mmoja humo humo anatengeneza mazingira ya yeye kupita bila kupingwa akubaliwe.

Nawewe unakubali yeye ndiye mtu pekee anauwezo huko Njombe?

Wanachama wengine ni vilaza sanaaa, au hawajitambui hadi yeye pekee ndiye awe mgombea , na apigiwe kura za Ndiyo au Hapana?

Muache double standard, au la, CCM inapofanya michezo michafu ya kutengeneza mgombea kupita bila kupingwa muwe mnakaa kimya.
 
Mimi sina Chama, Mimi ni chama changu ni Tanzania.

Uwe unafuatilia vitu kwa kina kabla ya kuungia kwenye mijadala.. Ameshinda mara ya kwanza kwa mujibu wa sheria pamoja na figisu nyingi, uchaguzi ukafutwa. Uchaguzi wa pili rushwa ikatembea sana, warecord na kupeleka evidence kwa wahusika, mgombea mtoa rushwa akapatwa na hatia. Ndio ukaja uchaguzi wa tatu, nao watu wakaja kufanya fujo. Ni uchaguzi pekee nchi nzima ambao haujakamilika.

Wataenda kufanya uchaguzi wa nne. Huu uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema Taifa, ungekuwa na hizi figisu kila mtu angeona sio sawa. Kwanini unabisha na unapata shida kuona kitu kilicho wazi kabisa bila hata kufuatilia mchakato ulivyofanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…