Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume "patriarchy"

Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo ambapo Catherine alisema huo ni mfumo dume.

Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wananchi mbali mbali waliomkumbusha kuwa yeye aliwaongoza BAWACHA kwenda kumchukulia fomu ya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe baadala ya kuhakikisha kuna mwanamke kutoka BAWACHA anayeweza kugombea nafasi hiyo ya juu.

View attachment 3211395
Ni nani huyo Janet Hana taarifa kuwa hamna mwanamke aliyeweza kuchukua fomu hizo nafasi za juu au yeye alitaka kiongozi mwanamke apatikane vipi?
 
Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo ambapo Catherine alisema huo ni mfumo dume.

Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wananchi mbali mbali waliomkumbusha kuwa yeye aliwaongoza BAWACHA kwenda kumchukulia fomu ya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe baadala ya kuhakikisha kuna mwanamke kutoka BAWACHA anayeweza kugombea nafasi hiyo ya juu.

View attachment 3211395
Mpuuzi sana huyo bint,Kwani wakati wa Mfalme hizo nafasi za hao wote nani alikuwa mwanamke?Au anamaanisha Mfalme ndio .....
 
Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo ambapo Catherine alisema huo ni mfumo dume.

Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wananchi mbali mbali waliomkumbusha kuwa yeye aliwaongoza BAWACHA kwenda kumchukulia fomu ya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe baadala ya kuhakikisha kuna mwanamke kutoka BAWACHA anayeweza kugombea nafasi hiyo ya juu.

View attachment 3211395

ishu ya 50 kwa 50 ni ya kutokea kuzimu kwa shetani. Tangu mwanzo mwanamke ameumbwa atawaliwe. Ni uasi kiroho mwanamke kumtawala mwanaume. Unadhani Bwana Yesu alisahau kumchagua mwanamke japo mmoja wakati ule alipowachagua mitume 12?

mwanamke ana nafasi yake siyo ya kumtawala mwanaume. This is God ordained!
 
Patriarchal - sio mfumo dume Ila ni ile hali mwanaume anakuwa decision maker mfanya maamuzi.

Ukileta maswala ya gender balance utazalisha jamii ya watu wajinga na wapiga majungu .

Wao wakomae na UWT , BAWACHA n.k

Unafikiri ni mwanamke gani angeweza kumuondoa Mbowe hapo Chadema?

Mnadai kitu ambacho hata mkipewa hamuwezi kukifanyia Kazi

Inaonekanwa kumuondoa Mbowe ndiomafanikio yenu ya kujivunia zaidi
 
CHADEMA SIO CHAMA CHA KISHENZI SHENZI TU KWAMBA KIMCHAGUE KIONGOZI SABABU TU YA JINSIA YAKE ALAFU KICHWAN HEWA, UJASIRI HAMNA, MAONO SIFURI.

HIZO NI TABIA ZA HAO WENGINE.
Bahati mbaya sana kwa nchi yetu kuwa chama tawala haki chagui viongozi wake kutokana na uwezo bali jinsia zao!! Ndio maana tunakuwa na viongozi wake serikalini walojaa hewa kichwani!!
Tunashukuru Chadema wameonesha njia ya kuwa tofauti!
 
Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wananchi mbali mbali waliomkumbusha kuwa yeye aliwaongoza BAWACHA kwenda kumchukulia fomu ya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe baadala ya kuhakikisha kuna mwanamke kutoka BAWACHA anayeweza kugombea nafasi hiyo ya juu.
Trump Dominance jamaa ukimwekea Kamala anapiga kisawasawa sasa TAL nataka anipigie Cha100
 
Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo ambapo Catherine alisema huo ni mfumo dume.

Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wananchi mbali mbali waliomkumbusha kuwa yeye aliwaongoza BAWACHA kwenda kumchukulia fomu ya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe baadala ya kuhakikisha kuna mwanamke kutoka BAWACHA anayeweza kugombea nafasi hiyo ya juu.

View attachment 3211395
Tusikilize mawazo ya mfumo Jike
 
Attachments

  • 5938169-3f8437b06df44d0a7c8b8e175f481762.mp4
    23 MB
Sielewi kwann baadhi ya wanawake wana feel entitled , wanahisi sababu ya jinsia yao wana haki na nafasi fulani. Na si sababu ya uwezo

Watu design hii akipewa nafasi watavuruga nchi nzima , au mifumo ya chama
Oyaaa Mimi kwenye Maisha yangu ya kimahusiano ,ya kijamii, Vyovyote vile ambapo natakiwa ku interact na jinsia ya Kike, Huwa nahitaji kua Fair lkn tuongee kwenye muktadha ya Uelewa na sifa za kibinadamu sio habari za Jinsia .
 
Mfumo dume ndio unapaswa kuongoza Dunia kwa sasa, maana dunia ilikaribu kuwa akina mama uhuru matokeo yake Kila mtu kaona.

USA waliona Bora wamrudishe mwehu Trump kuliko kumpa nchi Kamara Haris, au Leo hii eti China na Urusi zimpe nchi Mwanamama.

Trump USA ameliona tatizo la haki sawa na uhuru kwa kina mama, naona ametaka kuanzia nalo.

Kuna haja hata yakuzuia akina mama kufanya kazi zaidi ya saa nane mchane, muda wa kazi wakinamama uwe saa nane mchana, baada yaa hapo warudi majumbani kuangalia familia.
Akina mama wasio na kazi walipwe mishahara wabaki nyumbani, wanaume ndio wapambane na shuruba zote za uzarishaji.
 
Chadema wanawake wapi kwa sababu ya kuwaburudisha pindi wanapo nyimwa unyumba na wake zao wanajua paku pozea wapi
 
Huwa nasema kila siku Hawa Wana harakati uchwara WA haki za wanawake, wengi wao akili fikirivu na akili zao ni za kucopy na kupaste kile wanachokiona kikifanywa na wenzao WA magharibi.

Ni watu ambao hawaishi kwenye uhalisia, bali kwenye ulimwengu wao WA matamanio ya kihisia zaidi.

Hebu atuambie ni mwanamke Gani nchi hii ambaye anaweza akakiongoza chama kikuu Cha upinzani kwenye mikiki mikiki ya kusumbuana na hili dubwana linaloitwa CCM?

Kuendekeza endekeza usawa kusitupumbaze na kufanya vitu Kwa fashion bila kuangalia uhalisia.
 
Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo ambapo Catherine alisema huo ni mfumo dume.

Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wananchi mbali mbali waliomkumbusha kuwa yeye aliwaongoza BAWACHA kwenda kumchukulia fomu ya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe baadala ya kuhakikisha kuna mwanamke kutoka BAWACHA anayeweza kugombea nafasi hiyo ya juu.

View attachment 3211395
Tatizo la wanawake wa KiTanzania wanapenda wapendelewe kisa jinsia tu bila kuangalia uwezo.
Wapo wenye uwezo lakini wengi wao ni vilaza mno huku wakitegemea waonewe huruma kisa tu ni wanawake.
 
Back
Top Bottom