Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Ndugai alimkana JPM. Akaamua kuanzisha Bandari yao ile. Na yeye akaishia kukanwa mbele ya kadamnasi. Mambo ta Tit for Tat. Apambane na hali yakeNdugai atakuwa pressure ilimpanda baada ya kulazimishwa kujiuzulu, na huo ulinzi wanaompa huko India serikali wanaogopa asije kutoa siri ya waliomuandikia barua ya kujiuzulu.
Polisi hii hii ya akina Swilla ?Alitoa taarifa polisi?
Nimekubali mkuuUmechemsha
Si ukubali tu??
Polisi!Polisi ndo nani?
Sasa aweke huo ushahidi sio unafikiAliyekuwa mbunge wa viti maalum CHADEMA na Katibu mkuu BAWACHA ndugu Catherine Ruge amedai kwamba wakati akiwa mbunge akifanyia kazi kamati ya PAC alitishiwa kifo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini TPA ndugu Kakoko ambaye alikuja kutumbuliwa kwa tuhuma za ufisadi na kushtakiwa mahakamani.
Hali hiyo ilikuja baada ya yeye kuibua Madudu mengi ya ufujaji wa pesa katika Mamlaka hiyo na kubainisha kuwa kulikuwa na baadhi ya watumishi wazalendo wa kutoka mamlaka hiyo walikuwa wakimpa nyaraka za ndani za matumizi mabaya ya pesa ambazo Bwana Kakoko alikuwa akizificha.
Akiongea kwa njia ya mtandao kupitia mjadala unaoendeshwa kupitia mtandao wa Clubhouse, Pia ndugu Catherine Ruge alisema amedokeza anashangaa watu wakihoji alipo aliyekuwa Spika wa bunge ndugu Job Yustino Ndugai wakati yeye anafahamu kuwa yupo Katika matibabu hospitali ya Apollo nchini India na Kuna ulinzi mkali umeimarishwa katika mahali alipo mgonjwa.
Taarifa za kuugua kwa Ndugai, Catherine Ruge amedai kuwa amezipata kutoka kwa mdogo wake ambaye walikuwa wakitibiwa pamoja katika hospitali hiyo.
Hivi kumbe hakuandika mwenyewe hiyo barua?Ndugai atakuwa pressure ilimpanda baada ya kulazimishwa kujiuzulu, na huo ulinzi wanaompa huko India serikali wanaogopa asije kutoa siri ya waliomuandikia barua ya kujiuzulu.
Kawape taarifa wale polisi wako lupango Mtwara, wanashughulika mara moja.Alitoa taarifa polisi?
Hiyo uliyoipata si taarifa tayari?Subiri taarifa.
Kwani jimboni kwake hayuko?Hata mimi nimeiona tufunge midomo yetu tu.
Omujubi, mtu anaweza kusoma hii comment yako kwa haraka asikuelewe lakini ninahisi tungekuwa tumeendelea zaidi. Kuna viongozi wanaihujumu hii nchi utafikiri wao siyo watanzania, kwamba kuna nchi nyingine wanapeleka wanavovipora TZ. Hata aliyeazimwa koti hawezi kulitumia vibaya namna tunavyoona. Haiingii akilini, najiuliza inakuwa je kila mahali ni madudu?Nchi zetu ni bora tu zingeendelea kuwa chini ya wakoloni japo nao wangelikuwa na matatizo yao.
Kwa nini?Nchi zetu ni bora tu zingeendelea kuwa chini ya wakoloni japo nao wangelikuwa na matatizo yao.
Sawa SirroSasa aweke huo ushahidi sio unafiki
Jisemee mwenyewe, ukitaka utumwa ni wewe tu nenda Ulaya au Uarabuni ukatumikishwe kama mtumwa.Nchi zetu ni bora tu zingeendelea kuwa chini ya wakoloni japo nao wangelikuwa na matatizo yao.
Yaan jamaa mpaka amelazwaSanaa, hasa huku kwetu kwa wamatumbi
No kwa taarifa yako kakoko ni hakuwa kiongozi mzuri alikuwa mnoko mnoko kiasi kwamba wafanyakazi wake wa chini wakamzidi mbinu. Kulikuwa na vinara wa wizi hapo TPA ambao ndiyo walimchafulia na kibaya kulikuwa na michepuko ya wakubwa akawa anaogopa kuigusa (rejea Majaliwa).Kakoko kaiba sana.
Nenda Kigoma kuna taarifa zake.