Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
wakiendelea na ubunge watakuwa wa chama ganiMnajichosha bure na ujinga wenu....hasira zenu ziwanyime watu chakula? Maisha mafupi haya na kila mtu ana ya kwake tusipangiane. Mnaohangaika wengi ni wale washabiki maandazi msioijua CHADEMA ila mihemko tu inawatesa. Hata wakifukuzwa hao wataendelea na ubunge trust me
Kuwaza tumbo muda wote hudumaza uwezo wa kufikiri, badilika.Mnajichosha bure na ujinga wenu....hasira zenu ziwanyime watu chakula? Maisha mafupi haya na kila mtu ana ya kwake tusipangiane. Mnaohangaika wengi ni wale washabiki maandazi msioijua CHADEMA ila mihemko tu inawatesa. Hata wakifukuzwa hao wataendelea na ubunge trust me
Kwani nyumbu mnajielewa? Mwenye saccos keshaamua waende bungeni manyumbu huku mnaparurana, wao wameshaelewana ndo maana Mbowe katulia kimya anasubiri 1,560,000 X 19 = kila mwezi nyinyi mataahira endeleeni kuweweseka.Naamini hii issue imesukumwa na kina Mdee, Bulaya na Matiko, kama palikuwa na resistance yoyote ndani ya vikao vya chama naamini hao watatu ndio walikuwa vinara wa kutaka waende bungeni.
Tatizo linalokuja hapa kwanini kuwe na kauli za kuchanganya, huku Mdee aseme bungeni anamshukuru Mbowe kuwaruhusu waende, na upande mwingine Mnyika aseme hawajapeleka majina?
Jibu la hayo maswali nalipata pale naposkia hao kina Bulaya, Mdee, na wenzao wamepewa ulinzi na TISS, na zaidi wanafikiriwa wapewe nafasi nyingine serikalini kama uwaziri au unaibu.
Hili linathibitisha bila shaka kwamba wamenunuliwa na CCM, kama ilivyokuwa kwa Dr. Slaa, wale wanawake narudia kusema tena ni WASALITI.
Anyway, kama ni ya kweli hiyo tweet, hongera kwa Catherine kwa kukataa kwake kuwa sehemu ya hiyo laana waliyojitafutia hao wenzake.
Mlisema hawaendi, Sasa wameenda. Mmeanza eti wafukuzwe na hawatafukuzwa Hadi 2025 mlete Tena mbwatukaji mwingine agombee urais mpate zero mseme mmeibiwa halafu muende bungeni viti maalum.Wakitimuliwa hao watu chadema itaktwa chama imara sana
Umesahau yale ya bunge lililopita? Kuna wabunge wa CDM walihama chama, wakajitoa CDM na wakapoteza ubunge kwa mujibu wa sheria, Ndu-gayi akawabakiza mjengoni na wakaendelea na ubunge kwa "sheria" yakewakiendelea na ubunge watakuwa wa chama gani
Wabunge wa mahakama. Wakitimuliwa wanaenda mahakamani kupinga then wanaendelea na ubunge wao. Zitto alishawahi fanya hii alipotimuliwa chademawakiendelea na ubunge watakuwa wa chama gani
Mna lichama la hovyo sana! Viongozi wenu wote wananunulika...Hili linathibitisha bila shaka kwamba wamenunuliwa na CCM, kama ilivyokuwa kwa Dr. Slaa, wale wanawake narudia kusema tena ni WASALITI.
Ameandika hivi kupitia twitter:
Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Unaandika kwa uchungu pole sana. Wananchi walishaipuuza CHADEMA, endelea kujisimanga mwenyewe wakati Mwenyekiti wenu wa chama cha kaskazini ndiye kawateua hao wabunge wa viti maalum. Tuliwaambia upinzani ulikufa siku mkuu wenu alipobadili gia angani mwaka 2015 hamkuelewa na kumfanya Dr Slaa aondoke CHADEMA. Huyo mgombea wenu wa Ubelgiji ni mchumia tumbo tu hana lolote. Ndipo utaamini sasa kwamba siasa ni sayansi siyo mihemuko na uelewe tangu sasa Mkuu wa nchi hajaribiwi na washamba wa siasa kama nyie.Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.
Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata kamati zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.
Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.
Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.
CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia
Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.
Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.
Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Maskini unatia huruma huwezi ingia bungeni bila barua yenye sahihi ya mwenyekiti na katibu mkuu wa chamaTumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.

Na akiwa mwanamke ndio balaa kabisa.Tabia ya wanasiasa Malaya malaya