Uchaguzi 2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.

Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea Bungeni kinyemela hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.

Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.

Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.

Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.

CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia

Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.

Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.

Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.

Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
 
Naamini hii issue imesukumwa na kina Mdee, Bulaya na Matiko, kama palikuwa na resistance yoyote ndani ya vikao vya chama hao watatu ndio walikuwa vinara wa kutaka waende bungeni.

Tatizo linalokuja hapa kwanini kuwe na kauli za kuchanganya, huku Mdee aseme bungeni anamshukuru Mbowe kuwaruhusu waende, na upande mwingine Mnyika aseme hawajapeleka majina?

Jibu la hayo maswali nalipata pale naposkia hao kina Bulaya, Mdee, na wenzao wamepewa ulinzi na TISS, na zaidi wanafikiriwa wapewe nafasi nyingine serikalini kama uwaziri au unaibu.

Hili linathibitisha bila shaka kwamba wamenunuliwa na CCM, kama ilivyokuwa kwa Dr. Slaa, wale wanawake narudia kusema tena ni WASALITI.

Zaidi, ndio maana yule Nusrat Hanje ametolewa jela Singida juzi kwa amri ya DPP, halafu akapandishwa gari awawahi wasaliti wenzake Dodoma wakaapishwe.

Naamini next move ya Chadema kama chama kwenye hii issue ndio itaamua huu mchezo, mpira kwasasa umerudishwa upande wao, kazi kwao.

Anyway, kama ni ya kweli hiyo tweet, hongera kwa Catherine kwa kukataa kwake kuwa sehemu ya hiyo laana waliyojitafutia hao wenzake.
 
Mnajichosha bure na ujinga wenu....hasira zenu ziwanyime watu chakula? Maisha mafupi haya na kila mtu ana ya kwake tusipangiane. Mnaohangaika wengi ni wale washabiki maandazi msioijua CHADEMA ila mihemko tu inawatesa. Hata wakifukuzwa hao wataendelea na ubunge trust me
 
wakiendelea na ubunge watakuwa wa chama gani
 
Mnajichosha bure na ujinga wenu....hasira zenu ziwanyime watu chakula? Maisha mafupi haya na kila mtu ana ya kwake tusipangiane. Mnaohangaika wengi ni wale washabiki maandazi msioijua CHADEMA ila mihemko tu inawatesa. Hata wakifukuzwa hao wataendelea na ubunge trust me
Kuwaza tumbo muda wote hudumaza uwezo wa kufikiri, badilika.

Kiongozi wa kweli hatakiwi kuongozwa na tumbo, anatakiwa kutumia ubongo.
 
Naamini hii issue imesukumwa na kina Mdee, Bulaya na Matiko, kama palikuwa na resistance yoyote ndani ya vikao vya chama naamini hao watatu ndio walikuwa vinara wa kutaka waende bungeni.

Tatizo linalokuja hapa kwanini kuwe na kauli za kuchanganya, huku Mdee aseme bungeni anamshukuru Mbowe kuwaruhusu waende, na upande mwingine Mnyika aseme hawajapeleka majina?

Jibu la hayo maswali nalipata pale naposkia hao kina Bulaya, Mdee, na wenzao wamepewa ulinzi na TISS, na zaidi wanafikiriwa wapewe nafasi nyingine serikalini kama uwaziri au unaibu.

Hili linathibitisha bila shaka kwamba wamenunuliwa na CCM, kama ilivyokuwa kwa Dr. Slaa, wale wanawake narudia kusema tena ni WASALITI.

Anyway, kama ni ya kweli hiyo tweet, hongera kwa Catherine kwa kukataa kwake kuwa sehemu ya hiyo laana waliyojitafutia hao wenzake.
Kwani nyumbu mnajielewa? Mwenye saccos keshaamua waende bungeni manyumbu huku mnaparurana, wao wameshaelewana ndo maana Mbowe katulia kimya anasubiri 1,560,000 X 19 = kila mwezi nyinyi mataahira endeleeni kuweweseka.
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.

Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.

Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata kamati zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.

Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.

Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.

CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia

Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.

Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.

Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Unaandika kwa uchungu pole sana. Wananchi walishaipuuza CHADEMA, endelea kujisimanga mwenyewe wakati Mwenyekiti wenu wa chama cha kaskazini ndiye kawateua hao wabunge wa viti maalum. Tuliwaambia upinzani ulikufa siku mkuu wenu alipobadili gia angani mwaka 2015 hamkuelewa na kumfanya Dr Slaa aondoke CHADEMA. Huyo mgombea wenu wa Ubelgiji ni mchumia tumbo tu hana lolote. Ndipo utaamini sasa kwamba siasa ni sayansi siyo mihemuko na uelewe tangu sasa Mkuu wa nchi hajaribiwi na washamba wa siasa kama nyie.
 
Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.

Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.

Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata kamati zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.

Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.

Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.

CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia

Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.

Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.

Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Maskini unatia huruma huwezi ingia bungeni bila barua yenye sahihi ya mwenyekiti na katibu mkuu wa chama

Mbowe na Mnyika wamesaini ili wapate ruzuku wewe kaa hapo hapo na ujinga wako wenye chama wamesaini wewe mpiga yowe mitandaoni utajijua
 
Back
Top Bottom