Uchaguzi 2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

Kwanini mkamtoa jela juzi haraka haraka kwa amri ya DPP? kumbe mlikuwa na mpango nae.

Sasa hata kma kanunuliwa utanunuliwa bila kutaka [emoji3][emoji28][emoji23]...!? Wewe bwana akili yako fupi sana
 
Chama cha mfukoni, mwashindwa akili na kina mama. Endeleeni kulialia huku mitandaoni, ndio imetoka hiyo.
 

Wewe ndio umenimaliza kabisa na kauli yako, conclusion yako ndio inayonifanya nijue kuwa Tanzania na watanzania hatutobadilika. Kunyimwa watu chakula? Yaani hivyo watanzania tunavyouona ubunge, kupata kuvimbisha tumbo lako, sio kufanya kazi kwa manufaa ya wanaokuchagua?
 
🤣🤣
 
Halima kaingia kwa kofia ya uenyekiti bavicha. Ana nafasi yake that's y.
Kwani muda wa uenyekiti wa bavicha si umekwisha baada ya bunge la awamu iliyopita kuvunjwa rasmi? Si bunge hili jipya linatakiwa kuchaguwa mwenyekiti wao mpya wa bavicha au uenyekiti wa bavicha ni wa kudumu? Mimi nilidhani ameingia bungeni kwa tiketi ya viti maalum vya chadema! Naomba clarification tafadhali.
 
Siasa za Chadema ngumu sana kuzielewa lkn nimesoma humu humu kua mwenyekiti wa bavicha ana nafasi yake automatically. Kuhusu kuisha kwa uenyekiti wake bavicha hili sijajua kwa kweli. Sema tu kwa kua hawajafanya uchaguzi baasi ni halali yake.

Mwisho kabisa naona kama vile baada ya kukosa ubunge nahisi sauti ya zege akatengeneza list yake akiweka wanawake waliokosa ubunge plus yeye mwenyewe baasi wakajipeleka kuapishwa.
Ndio maana nataka niache ushabiki wa vyama kabisa
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Jina lake limo katika ile orodha ya wale 19?
 
Chadema hamna wa kumuamini.. Wengi hua mnajiapiza hivo ila mwisho wa siku mnaunga juhudi..
 
Huo ujinga wa CHADEMA peleka hukohuko CCM ina watu wanaojitambua sana tofauti na hao wachagga
 
Mgema akisifiwa tembo hulitia maji. CCM kwa sasa imechokwa. Pakiwa na uchaguzi huru na wa haki, chama chote chote hata kama ni cha mazezeta, kitashinda.
 
Na jamii imlinde Catherine. Kukataa kwake ni ushindi kwa Wana mageuzi wote duniani, lakini walio shindwa kumshawishi wanaweza kumdhuru.
 
Wakitimuliwa hao watu CHADEMA itaktwa chama imara sana
Wakitimuliwa chadema watahamia nccr na ubunge wao hautakoma. Kama ni kubadilisha sheria itabadilishwa. Hata katiba inaweza kubadilishwa kuruhusu uhuru huu. Akina Mdee na wenzake wana haki na uhuru wa kuchukua ubunge wao. Lissu na Chadema hawana legitimacy ya kuwapokonya uhuru huo!

Na hivi punde Maalim Seif naye atachukua u makamu wa pili wa rais wa Zanzibar. Zitto hana legitimacy ya kumzuia Maalim Seif kuwa makamu wa rais.
 
Mna lichama la hovyo sana! Viongozi wenu wote wananunulika...
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.
 
una kaswende ya mdomo sio siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…