Uchaguzi 2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

Hukukumbukwa mama, ungekumbukwa lazima na wewe ungekuwa mjengoni. Hayo ni maneno ya mkosaji. Umewahi kupata mateso zaidi ya Mdee wewe!! Licha ya kipigo cha manjagu lakini pia Mdee amewahi kupokea kipigo kitakatifu toka kwa wajeda. Wewe umepata mateso gani!!
Njaa yao ndiyo umemfanya mdee kujitoa fahamu zote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...afu wanataka wananchi wawaamini, tukiwapa uongozi hawa si watanunuliwa na mabeberu aisee.
Mbuzi jike kafanya biashara ya utumwa na mbowe kwa hofu ya vikwazo toka kwa Beberu
 
Ni kwa sababu hataki ubunge haramu wa kishetani
Huwajui wanasiasa
Hata yeye angeteuliwa angeenda
Ulitegemea mtu kama Halima Mdee kufanya vile? Ni kwa sababu na yeye anafaidika. Asingeteuliwa ungemsikia anawaita wenzake wasaliti
 
Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.

Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.

Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.

Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.

Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.

CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia

Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.

Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.

Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.

Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Kati ya Mdee na wewe kigagula ni nani anaijua Chadema?
 
Leo ndiyo chadema inafariki na kuzikwa rasmi endapo itabainika kuwa mbowe kachukua bilion 3 kauza wabunge wa kike, watanzania wameumia kubambikiwa kesi kufungwa kupigwa risasi kwa sababu ya chadema leo hii mbowe anaendekeza njaa za ruzuku anachukua Rushwa kuuza chama
Kama cdm wanamzingua TL bora ahamie ACT-Wazalendo tu biashara ya kubadili gia angani amuachie Mbowe na genge lake
 
Catherine Ruge eti kasema kakataa uteuzi viti maalum eti hatasaliti Chadema utafikiri Chadema ni chama chake alichoanzisha yeye

Kakikuta na atakiacha chadema Lina wenyewe kakigeuza kama dini yake!!!

Wenye chama chao haooooo wako bungeni akae na ujinga wake

Anakuwa mfia chama kisicho mali yake
Kwa hiyo CCM ni Mali ya familia ya mwalimu Nyerere....
 
Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.

Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.

Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.

Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.

Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.

CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia

Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.

Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.

Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.

Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Pole mkuu. Kigogo mpeni Uenyekiti kabisa ili akivushe chama cha saccos la sivyo kinapotea!
 
Tulikupenda CDM
Enm9hX0UwAAk0QZ.jpeg
 
Munasusia nafasi za Bunge, sawa! Ruzuku itasusiwa au hiyo mutachukuwa? Tunasubiri tuone malengo ya matumbo yenu.
 
Leo ndiyo chadema inafariki na kuzikwa rasmi endapo itabainika kuwa mbowe kachukua bilion 3 kauza wabunge wa kike, watanzania wameumia kubambikiwa kesi kufungwa kupigwa risasi kwa sababu ya chadema leo hii mbowe anaendekeza njaa za ruzuku anachukua Rushwa kuuza chama
Wewe ni nani kwenye Saccos ya Mtei na Mbowe?? Kojoa ukalale waachie wenye mali yao waendelee kula mali yao watakavyo!
 
Chadema inashuka huku mkilazimisha ushindi kwa kura za kwenye mabegi meusi.
Kwanza mimi siyo mfuasi wa chama chochote, pamoja na rafu ambazo chadema inafanyiwa sasa hivi inaonekana wazi hawana mbinu mbadala mfano maandamano yaliyoitishwa hayakuwa na mwitikio kwa lugha nyingine inazidi kupoteza ushawishi.
 
Kwani nyumbu mnajielewa? Mwenye saccos keshaamua waende bungeni manyumbu huku mnaparurana, wao wameshaelewana ndo maana Mbowe katulia kimya anasubiri 1,560,000 X 19 = kila mwezi nyinyi mataahira endeleeni kuweweseka.
Nyumbu hovyo kabisa.
They don't know, they will never know!!!!!!
 
Ni kwa sababu hataki ubunge haramu wa kishetani
Bado una imani na Hawa wanawake? Halafu inavyyoonesha Kuna ushirika wa viongozi wakubwa.Tegemea siku za karibuni Tundu Lissu,Mnyika na baadhi ya wapigania Upinzani kujitoa CDM
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Kelele za sizitaki mbichi hii, mateso gani weye uewahi kuyapata kumzidi Halima Mdee,kwanza ndio tunakusikia leo
 
Naombeni kuuliza. Huyu Catherine si aligombea kawaida ubunge? Sasa angeingiaje viti maalum! Maana kwani list ya viti Maalum si ilitengenezwa hata kabla ya uchaguzi?

Kama hayo maswali ni yes, huyo Catherine hataki kusaliti nini kwani jina lilikuwepo?

Kwani kina halima hawakua wagombea wa majimbo?!
 
Back
Top Bottom