Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
kwani chama ni mama yake?
atakufa masikini we muache tu.
Unadhani angekuwa kwenye hayo majina angekataa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani chama ni mama yake?
atakufa masikini we muache tu.
Kigogo hatabiri yuko ndani yaoKigogo Alishasema kitambo...
imetimia injili aliyoitabiri
Hahahah leo umepata nguvu ya kuandika kidogo... endeleeni kujifarijiTumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.
Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.
Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.
Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.
CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia
Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.
Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.
Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Ndio chombo cha habari cha kweli kwa sasaKigogo Alishasema kitambo...
imetimia injili aliyoitabiri
Eti kigogo, hivi nyie jamaa mna akili kweli, mbona mange kimambi alishambulia mpaka akachoka anakula bata saiviTumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.
Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.
Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.
Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.
CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia
Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.
Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.
Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Hukukumbukwa mama, ungekumbukwa lazima na wewe ungekuwa mjengoni. Hayo ni maneno ya mkosaji. Umewahi kupata mateso zaidi ya Mdee wewe!! Licha ya kipigo cha manjagu lakini pia Mdee amewahi kupokea kipigo kitakatifu toka kwa wajeda. Wewe umepata mateso gani!!Ameandika hivi kupitia twitter:
Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Usihadaike na wazua taharuki, wewe hao walinzi wa Tiss umewaona wapi? Yani Dodoma ilivyo una amini kabisa hao wabunge watashambuliwa na mtu yoyote hapo ngome ya CCM, hao wameondoka vizuri tu na wameenda kufanya party na kikao kwa Matiko, kujadili mashambulizi watayopata kwa wafuasi wao na wafanyaje kuaminisha kuwa wameingia kwenda kutetea haki zao sio kwa kubebwa na CCMNaamini hii issue imesukumwa na kina Mdee, Bulaya na Matiko, kama palikuwa na resistance yoyote ndani ya vikao vya chama hao watatu ndio walikuwa vinara wa kutaka waende bungeni.
Tatizo linalokuja hapa kwanini kuwe na kauli za kuchanganya, huku Mdee aseme bungeni anamshukuru Mbowe kuwaruhusu waende, na upande mwingine Mnyika aseme hawajapeleka majina?
Jibu la hayo maswali nalipata pale naposkia hao kina Bulaya, Mdee, na wenzao wamepewa ulinzi na TISS, na zaidi wanafikiriwa wapewe nafasi nyingine serikalini kama uwaziri au unaibu.
Hili linathibitisha bila shaka kwamba wamenunuliwa na CCM, kama ilivyokuwa kwa Dr. Slaa, wale wanawake narudia kusema tena ni WASALITI.
Zaidi, ndio maana yule Nusrat Hanje ametolewa jela Singida juzi kwa amri ya DPP, halafu akapandishwa gari awawahi wasaliti wenzake Dodoma wakaapishwe.
Naamini next move ya Chadema kama chama kwenye hii issue ndio itaamua huu mchezo, mpira kwasasa umerudishwa upande wao, kazi kwao.
Anyway, kama ni ya kweli hiyo tweet, hongera kwa Catherine kwa kukataa kwake kuwa sehemu ya hiyo laana waliyojitafutia hao wenzake.
Mwanamke mbele ya Pesa sio wa kumuamini sanaAmeandika hivi kupitia twitter:
Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Polee mkuuTabia ya wanasiasa Malaya malaya
Yani wagumu kuelewa mpaka wanakera mtu unaishiji na matumaini ya kijinga kiasi hiki, naanza kuelewa kwanini wanaitwa Nyumbu, pamoja sio neno napenda tumiaMlisema hawaendi, Sasa wameenda. Mmeanza eti wafukuzwe na hawatafukuzwa Hadi 2025 mlete Tena mbwatukaji mwingine agombee urais mpate zero mseme mmeibiwa halafu muende bungeni viti maalum.
Nyumbu hovyo kabisa
Maumivu ya mfukoni yakianza atahamia kabisa CCMCatherine Ruge eti kasema kakataa uteuzi viti maalum eti hatasaliti Chadema utafikiri Chadema ni chama chake alichoanzisha yeye
Kakikuta na atakiacha chadema Lina wenyewe kakigeuza kama dini yake!!!
Wenye chama chao haooooo wako bungeni akae na ujinga wake
Anakuwa mfia chama kisicho mali yake
Tatazo kuna tetesi kuwa mbowe kapewa bilion 3 kwa mjibu wa Le mutuz aliyeropoka sehemu, hii ndiyo inaleta shida kwani watu wasiposikia mbowe akiwavua uanachama wataihama chadema isalie kuwa kama UDP chauma TLP na NCCRTumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.
Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.
Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.
Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.
CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia
Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.
Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.
Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
umeandika kwa uchungu sana,bahati mbaya wewe ni mchanga sana kwenye hiziz siasa.Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
hilo lijaa ni lijinga la kutupwa,halijielewiMaskini unatia huruma huwezi ingia bungeni bila barua yenye sahihi ya mwenyekiti na katibu mkuu wa chama
Mbowe na Mnyika wamesaini ili wapate ruzuku wewe kaa hapo hapo na ujinga wako wenye chama wamesaini wewe mpiga yowe mitandaoni utajijua
kigogo ndio yule mpambe wa mekoKigogo hatabiri yuko ndani yao
ccm wakereketwa wa chadema tukihama chadema hatuendi ccm tunabakia wapinzani huru mioyoni tusioipenda ccm, kuwa mpinzani huru ni kitu bora kuliko kushabikia chadema ya mbowe mpenda ruzuku pasipo kujali maumivu ya watu waliumia kuteswa kubambikiwa kesi kupigwa risasi wakati wakipigania chademaMaumivu ya mfukoni yakianza atahamia kabisa CCM
Catherine hajakataa ila dili lilimpitia pembeni. 😂😂😂😂Naamini hii issue imesukumwa na kina Mdee, Bulaya na Matiko, kama palikuwa na resistance yoyote ndani ya vikao vya chama hao watatu ndio walikuwa vinara wa kutaka waende bungeni.
Tatizo linalokuja hapa kwanini kuwe na kauli za kuchanganya, huku Mdee aseme bungeni anamshukuru Mbowe kuwaruhusu waende, na upande mwingine Mnyika aseme hawajapeleka majina?
Jibu la hayo maswali nalipata pale naposkia hao kina Bulaya, Mdee, na wenzao wamepewa ulinzi na TISS, na zaidi wanafikiriwa wapewe nafasi nyingine serikalini kama uwaziri au unaibu.
Hili linathibitisha bila shaka kwamba wamenunuliwa na CCM, kama ilivyokuwa kwa Dr. Slaa, wale wanawake narudia kusema tena ni WASALITI.
Zaidi, ndio maana yule Nusrat Hanje ametolewa jela Singida juzi kwa amri ya DPP, halafu akapandishwa gari awawahi wasaliti wenzake Dodoma wakaapishwe.
Naamini next move ya Chadema kama chama kwenye hii issue ndio itaamua huu mchezo, mpira kwasasa umerudishwa upande wao, kazi kwao.
Anyway, kama ni ya kweli hiyo tweet, hongera kwa Catherine kwa kukataa kwake kuwa sehemu ya hiyo laana waliyojitafutia hao wenzake.
Wenye chama kipi? Chadema imefariki tayari watabakia na ruzuku lakini hawana wanachama hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia kuwa mfuasu wa mbowe labda hao wanufaika wa mgao wa ruzuku haramu ya kishetaniMaskini unatia huruma huwezi ingia bungeni bila barua yenye sahihi ya mwenyekiti na katibu mkuu wa chama
Mbowe na Mnyika wamesaini ili wapate ruzuku wewe kaa hapo hapo na ujinga wako wenye chama wamesaini wewe mpiga yowe mitandaoni utajijua
Ujinga unao wewe wa kudhani kuwa Bungeni kwa njia haramu za kishetani ni ujanja bora yeye atajijengea heshima kuliko hao njaa waendekeza ruzuku pasipo kujali chadema inaenda kufariki baada ya kuipeleka ICU janaCatherine Ruge eti kasema kakataa uteuzi viti maalum eti hatasaliti Chadema utafikiri Chadema ni chama chake alichoanzisha yeye
Kakikuta na atakiacha chadema Lina wenyewe kakigeuza kama dini yake!!!
Wenye chama chao haooooo wako bungeni akae na ujinga wake
Anakuwa mfia chama kisicho mali yake
Jina lake lilikuwemo kwenye orodha ya kwanza.Unadhani angekuwa kwenye hayo