Uchaguzi 2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

Na hilo likitokea ndio itakua vzr kwa upande wetu sisi mashabiki wa upinzani kwa sababu itajustify malalamiko na matakwa yetu kwa Jumuia ya kimataifa ili watakapochokua hatua kwa mpini wa kisu walichokishika basi itakua ni hatua yenye mashiko
 
Hizo ni kodi za watanzania wote siyo pesa binafsi za ccm wala mwenyekiti wa ccm acheni kujipa ujiko kwa njia haramu za kishetani
Basi Bavicha jengeni madaraja kwa pesa zenu tuwasifie
 
jilazimishe kupenda maisha yenye utaratibu na ustaarab. unaonekana ubongo wako uko ovyo ovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…