Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Na hilo likitokea ndio itakua vzr kwa upande wetu sisi mashabiki wa upinzani kwa sababu itajustify malalamiko na matakwa yetu kwa Jumuia ya kimataifa ili watakapochokua hatua kwa mpini wa kisu walichokishika basi itakua ni hatua yenye mashikoMnajichosha bure na ujinga wenu....hasira zenu ziwanyime watu chakula? Maisha mafupi haya na kila mtu ana ya kwake tusipangiane. Mnaohangaika wengi ni wale washabiki maandazi msioijua CHADEMA ila mihemko tu inawatesa. Hata wakifukuzwa hao wataendelea na ubunge trust me