Daa ! Mkuu pole ! Sipati picha unavyo bubujikwa na machozi ukiandika 😭 ! Da ! Hiyo ndio siasa, jipe tu moyo mkuu !Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.
Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.
Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.
Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.
CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia
Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.
Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.
Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Mdee, Bulaya, Matiko, Makamba ect wao mbona huwaulizii wakati waligombea ubunge kawaidaNaombeni kuuliza. Huyu Catherine si aligombea kawaida ubunge? Sasa angeingiaje viti maalum! Maana kwani list ya viti Maalum si ilitengenezwa hata kabla ya uchaguzi?
Kama hayo maswali ni yes, huyo Catherine hataki kusaliti nini kwani jina lilikuwepo?
Katibu mkuu wa CDM akitangaza hadharani kuwa hajapeleka hayo maji na NEC, na Mwenyekiti Mbowe akawakana pia, maana yake ubunge wao ni batili . ccm wanalifahamu hilo ndiyo maana wameweka wazi kuwa vyovyote iwavyo wataendelea kuwa wabunge , na hii ni njia moja ya kuja kulazimisha mahakama iwape ushindi pindi ikiwa hivo. All in all,wamevunja kanuni za chama na hivo CDM wana kila haki ya kuwafutilia mbali hawa wanawake wahuni na wachumia tumbo. Ccm iwapokee na kuwapa wanayotaka kuwapa, kamwe CDM msikubali ccm iingie mpk chumbani kwenu. Fukuzeni mamluki yote, ibaki pure Chadema. Impurities zote fagieni maana kuwalea ndiyo matokeo yake haya. Mngemsikiliza Kigogo alivyowaambia fukuzeni Bulaya wala huu upuuzi usingekuwepo.wakiendelea na ubunge watakuwa wa chama gani
Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.
Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.
Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.
Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.
CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia
Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.
Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.
Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Kuwaza tumbo muda wote hudumaza uwezo wa kufikiri, badilika.
Kiongozi wa kweli hatakiwi kuongozwa na tumbo, anatakiwa kutumia ubongo.
Kwa bandiko lako hilo Mkuu [Salary Slip] sasa naamini bila mashaka CCM siyo chama imara Tanzania bali pia niTaasisi kubwa. Kila linalotendeka katika nyanja za siasa, lawama ni CCM. Baadhi ya lawama ni kama vile;Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.
Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.
Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.
Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.
CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia
Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.
Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.
Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Kuna na Yule WA Shinyanga alietuhumiwa kutaka kuchoma nyumba ya Katambi, nae katolewa kazadiwa. Mbowe Akina 'Delila' wamekuweza pamoja na nguvu zote ulizonazo CDM itakufa kifo kama cha Samsoni.Kwanini mkamtoa jela juzi haraka haraka kwa amri ya DPP? kumbe mlikuwa na mpango nae.
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28]bila shaka hata Mbowe hafai kuwa kinara wa mapambano. Ameishiwa mbinu. Watu hawa hatari habari zao zilishasikika kitambo. Alichukua hatua gani mpaka wanaaibisha na kukatisha tamaa namna hii. Walitakiwa wafukuzwe dakika ya 2 pili tu. Hivi wanajua ni jinsi gani watu watarudi nyuma kuwaunga mkono?Nani tena ata risk maisha yake kwa ajili yao?
Hata kukimbizana na polisi hata kubali. huo muda ni bora akimbizane na mkewe kitandani
Mbona unaumia sn. Cathy ndiyo mwanasiasa making kama kakataa kurubuniwa na kina bulaya. Inaonyesha wanawake wengi wamekataa usaliti huo ndiyo maana majina hayajafikia 19. Ingekuwa wana baraka za chama idadi yao ingetimia na kungekuwa na mchanganyiko wa waliogombea na ambao hawakugombea. Nimeyachukia haya mianamke hadi basi. Wewe mbona ni mfia chama wa kijani? Hakika njia ile iendayo mbinguni ni nyembamba.Catherine Ruge eti kasema kakataa uteuzi viti maalum eti hatasaliti Chadema utafikiri Chadema ni chama chake alichoanzisha yeye
Kakikuta na atakiacha chadema Lina wenyewe kakigeuza kama dini yake!!!
Wenye chama chao haooooo wako bungeni akae na ujinga wake
Anakuwa mfia chama kisicho mali yake
Haya maneno siyaamini tena, heri wale wanaokaa kimyaAmeandika hivi kupitia twitter:
Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Kuna mtu mmoja mahususi ambaye hao wabunge wamemshukuru, kama unajua, unajua!If that's easy jaribuni kwa Mbowe au Lissu.
😳...😁...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haya madada poa wameenda Dodoma kinyemelanyemela kama wanaingia gheto vile.
Unaongelea watanzania wapi ndugu?Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.
Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.
Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.
Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.
CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia
Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.
Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.
Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama pangekuwa na mazingira fair kwenye uchaguzi nafasi ya Lissu kushinda ilikuwa kubwa sana, asieona nguvu ya kura feki ilivyowabeba CCM ni kipofu wa macho na akili.
Catherine Ruge mwanzo jina lake lilikuwepo, watakuwa waliujua msimamo wake mapema ndio maana wakaliondoa jina lake kuogopa wasijeonekana ni walaghai.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kutudanganya au unadhani hapa wote ni mburula kama wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbowe sio mjinga na punguwani kama wewe. Kuna pato lisilo rasmi kutoka kwa wabunge viti maalum. Ndani ya miaka 5 wabunge hao wanatoa kiasi cha tshs. bilioni 1.7 plus pesa ya ruzuku.
Hiyo ni pesa nyingi kukisukuma chama kwenye kipindi kigumu kinachokuja. Siasa ni pesa, siasa ni uwekezaji. Hao wabunge 19 watakuwa wamejipanga vizuri kuliko kipindi walipokuwa wengi bungeni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu pekee mwenye kura ya turufu kwa viti maalum ni Mdee kwasababu ni mwenyekiti Bawacha, hao wengine huwa wanachaguana tu.
Hata kina Bulaya, Matiko na Paresso nao waligombea ubunge lakini wapo viti maalum.
Kuthibitisha hao watu huwa wanapigiana kura wenyewe/kuteuana na CCM wanahusika, ndio maana Nusrat Hanje ameenda kutolewa jela Singida juzi kwa amri ya DPP, halafu usiku huo huo akapandishwa gari awahi Dodoma kuungana na wasaliti wenzake wakaapishwe.
Huu mchezo umechezwa na CCM kwa asilimia zaidi ya 99%
Hao wanaosema ruzuku ni vipofu hawajui chochote.