Uchaguzi 2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

Hahahah leo umepata nguvu ya kuandika kidogo... endeleeni kujifariji
 
Eti kigogo, hivi nyie jamaa mna akili kweli, mbona mange kimambi alishambulia mpaka akachoka anakula bata saivi
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Hukukumbukwa mama, ungekumbukwa lazima na wewe ungekuwa mjengoni. Hayo ni maneno ya mkosaji. Umewahi kupata mateso zaidi ya Mdee wewe!! Licha ya kipigo cha manjagu lakini pia Mdee amewahi kupokea kipigo kitakatifu toka kwa wajeda. Wewe umepata mateso gani!!
 
Usihadaike na wazua taharuki, wewe hao walinzi wa Tiss umewaona wapi? Yani Dodoma ilivyo una amini kabisa hao wabunge watashambuliwa na mtu yoyote hapo ngome ya CCM, hao wameondoka vizuri tu na wameenda kufanya party na kikao kwa Matiko, kujadili mashambulizi watayopata kwa wafuasi wao na wafanyaje kuaminisha kuwa wameingia kwenda kutetea haki zao sio kwa kubebwa na CCM
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Mwanamke mbele ya Pesa sio wa kumuamini sana
 
Mlisema hawaendi, Sasa wameenda. Mmeanza eti wafukuzwe na hawatafukuzwa Hadi 2025 mlete Tena mbwatukaji mwingine agombee urais mpate zero mseme mmeibiwa halafu muende bungeni viti maalum.
Nyumbu hovyo kabisa
Yani wagumu kuelewa mpaka wanakera mtu unaishiji na matumaini ya kijinga kiasi hiki, naanza kuelewa kwanini wanaitwa Nyumbu, pamoja sio neno napenda tumia
 
Maumivu ya mfukoni yakianza atahamia kabisa CCM
 
Tatazo kuna tetesi kuwa mbowe kapewa bilion 3 kwa mjibu wa Le mutuz aliyeropoka sehemu, hii ndiyo inaleta shida kwani watu wasiposikia mbowe akiwavua uanachama wataihama chadema isalie kuwa kama UDP chauma TLP na NCCR
 
Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
umeandika kwa uchungu sana,bahati mbaya wewe ni mchanga sana kwenye hiziz siasa.
Nakushauri ujipe likizo ya mwezi mmoja kwanza,kabla ya kurejea upya
 
Maskini unatia huruma huwezi ingia bungeni bila barua yenye sahihi ya mwenyekiti na katibu mkuu wa chama

Mbowe na Mnyika wamesaini ili wapate ruzuku wewe kaa hapo hapo na ujinga wako wenye chama wamesaini wewe mpiga yowe mitandaoni utajijua
hilo lijaa ni lijinga la kutupwa,halijielewi
 
Maumivu ya mfukoni yakianza atahamia kabisa CCM
ccm wakereketwa wa chadema tukihama chadema hatuendi ccm tunabakia wapinzani huru mioyoni tusioipenda ccm, kuwa mpinzani huru ni kitu bora kuliko kushabikia chadema ya mbowe mpenda ruzuku pasipo kujali maumivu ya watu waliumia kuteswa kubambikiwa kesi kupigwa risasi wakati wakipigania chadema
 
Catherine hajakataa ila dili lilimpitia pembeni. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maskini unatia huruma huwezi ingia bungeni bila barua yenye sahihi ya mwenyekiti na katibu mkuu wa chama

Mbowe na Mnyika wamesaini ili wapate ruzuku wewe kaa hapo hapo na ujinga wako wenye chama wamesaini wewe mpiga yowe mitandaoni utajijua
Wenye chama kipi? Chadema imefariki tayari watabakia na ruzuku lakini hawana wanachama hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia kuwa mfuasu wa mbowe labda hao wanufaika wa mgao wa ruzuku haramu ya kishetani
 
Ujinga unao wewe wa kudhani kuwa Bungeni kwa njia haramu za kishetani ni ujanja bora yeye atajijengea heshima kuliko hao njaa waendekeza ruzuku pasipo kujali chadema inaenda kufariki baada ya kuipeleka ICU jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…