Chadema ipo ICU mda na saa yeyote inafariki sasaKwako umeona bora kutumikishwa na tumbo, mimi natumikishwa na ubongo.
Hizo ni kodi za watanzania wote siyo pesa binafsi za ccm wala mwenyekiti wa ccm acheni kujipa ujiko kwa njia haramu za kishetaniPlate number za gari karibia zinaingia namba "E"..
We kaa ukipiga porojo hapa wakati sasahivi wanaume wanapambana kuunganisha wilaya zote kwa barabara za lami.. Umeme kila kijiji na vitoa vya afya vya kutosha..
Kama unakiri naunaamini kuwa Halima James Mdee The Iron Lady,Esther Matiko, Esther Amos Bulaya wamenunuliwa basi kubali kuwa hakuna mwana Chadema atakayeshindwa kufika bei kutoka ccm.Naamini hii issue imesukumwa na kina Mdee, Bulaya na Matiko, kama palikuwa na resistance yoyote ndani ya vikao vya chama hao watatu ndio walikuwa vinara wa kutaka waende bungeni.
Tatizo linalokuja hapa kwanini kuwe na kauli za kuchanganya, huku Mdee aseme bungeni anamshukuru Mbowe kuwaruhusu waende, na upande mwingine Mnyika aseme hawajapeleka majina?
Jibu la hayo maswali nalipata pale naposkia hao kina Bulaya, Mdee, na wenzao wamepewa ulinzi na TISS, na zaidi wanafikiriwa wapewe nafasi nyingine serikalini kama uwaziri au unaibu.
Hili linathibitisha bila shaka kwamba wamenunuliwa na CCM, kama ilivyokuwa kwa Dr. Slaa, wale wanawake narudia kusema tena ni WASALITI.
Zaidi, ndio maana yule Nusrat Hanje ametolewa jela Singida juzi kwa amri ya DPP, halafu akapandishwa gari awawahi wasaliti wenzake Dodoma wakaapishwe.
Naamini next move ya Chadema kama chama kwenye hii issue ndio itaamua huu mchezo, mpira kwasasa umerudishwa upande wao, kazi kwao.
Anyway, kama ni ya kweli hiyo tweet, hongera kwa Catherine kwa kukataa kwake kuwa sehemu ya hiyo laana waliyojitafutia hao wenzake.
Leo ndiyo chadema inafariki na kuzikwa rasmi endapo itabainika kuwa mbowe kachukua bilion 3 kauza wabunge wa kike, watanzania wameumia kubambikiwa kesi kufungwa kupigwa risasi kwa sababu ya chadema leo hii mbowe anaendekeza njaa za ruzuku anachukua Rushwa kuuza chamaTunataka kusikia msimamo wa chama,mbowe na mnyika waseme kilichopo la sivyo huu utakuwa mwisho wa cdm kama wanadhani ni utani wapeleke hao wabunge bungeni na Mbowe sio mtu wa kuaminika hapa.
Ikitokea hao watu wamenunuliwa ni kufukuzwa uanachama na waendelee na utaratibu wao na inakoelekea ni kuwa kama CUF
Mdee ni mwenyekiti kaingia kwa kofia yake.Mdee, Bulaya, Matiko, Makamba ect wao mbona huwaulizii wakati waligombea ubunge kawaida
Kashtuka tu paaap watu wanakula kiapo bungeniCatherine hajakataa ila dili lilimpitia pembeni. 😂😂😂😂
1. Catherine Ruge
2. Susan Kiwanga
3. Upendo Peneza
4. Devotha Minja
5. Yosepha Komba
6. Hilda Newton
7. Husna Said, yule binti wa Chato
8......
Bado kuna wapiganaji Bawacha. Msihukumu wanawake wote wa Chadema kwa matendo ya wachache.
Kuvunjika kwa koleo....
Amandla...
Watanzania wa Tanzania anawaongelea ambao hawakuipigia CCM kura lakini CCM ikatumia NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu, ngojera unazo wewe usiyejua kuwa watanzania wana Akili nyingi ndiyo maana sasa wamekataa upumbavu wa mbowe kwa 100%Unaongelea watanzania wapi ndugu?
Watanzania ndiyo walipiga kura, na CCM ikashinda kwa kishindo, alafu wewe unaleta ngonjera?
Zile ni nafasi za wanawake, na walioapishwa ni wanawake, na wamezipata kwa mujibu wa sheria!
Wewe bado una akili ya kuwaendekeza wahisani!
Akina Mdee ni wabunge halali, na wamwshiriki kukijenga chama.
Kama chadema mnaona kilichofanywa na Hawa wabunge ni haramu, basi na ruzuku ikataeni!
Hicho kiapo haramu cha kishamba na kishetani ndicho kinaipeleka chadema ICU hatimae kufarikiKashtuka tu paaap watu wanakula kiapo bungeni
Wamepigwa risasi kwa uzembe wao, polisi huwa inawaonya lakini wanakaidi, hapo mbowe anaingiajeLeo ndiyo chadema inafariki na kuzikwa rasmi endapo itabainika kuwa mbowe kachukua bilion 3 kauza wabunge wa kike, watanzania wameumia kubambikiwa kesi kufungwa kupigwa risasi kwa sababu ya chadema leo hii mbowe anaendekeza njaa za ruzuku anachukua Rushwa kuuza chama
Ni kwa sababu hataki ubunge haramu wa kishetaniNi kwa sababu hajateuliwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Kashtuka tu paaap watu wanakula kiapo bungeni
Mbowe anaingia kama alivyoingia kuchukua pesa haramu kuuza wabunge wa kike kwa njia haramu za kishetaniWamepigwa risasi kwa uzembe wao, polisi huwa inawaonya lakini wanakaidi, hapo mbowe anaingiaje
Alisemaje? Sie wengine hatukumsikia.Kigogo Alishasema kitambo...
imetimia injili aliyoitabiri
Kamanda unaroho ngumu sijapata ona.Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.
Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.
Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.
Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.
CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia
Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.
Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.
Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Acheni wivu bhana, mbowe alikaa rupango mlimsaidiaMbowe anaingia kama alivyoingia kuchukua pesa haramu kuuza wabunge wa kike kwa njia haramu za kishetani
Hahahahahahahaha, kwakwakwakakwakwa! Nimekumbuka kicheko cha mahoka enzi zile. Wewe zidi tu kukaa uchi watu wacheke!Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.
Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.
Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.
Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.
CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia
Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.
Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.
Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Huyu jina lake inaonekana halikupelekwa viti maalum maana si kwa povu hili juu ya ugali wa wenzake.Ameandika hivi kupitia twitter:
Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Punguzeni Jazba Wazee..Tabia ya wanasiasa Malaya malaya
Hizo hadithi nitazitoa wapi wakati niliishia darasa la saba?WanAmpigania Nani etiii. Kuwa mkweli Acha Hadithi za form one na form 2.