Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mgombea ubunge mh.Catherine Ruge wewe umekuwa mbunge wa kipindi cha miaka mitano iliyopita, nilitegemea ungesave ili uje kufanya kampeni vizuri bila kupitisha bakuli.
Catherine umelipwa mshahara + posho kila mwezi zaidi ya mil 12 kwa kipindi cha miaka 5 jumlisha na pesa ya kiinua mgongo zaidi ya mil 200.
Sasa leo inakuwaje tena unaomba mchango wa kampeni yako?
Sisi pesa za kukupa wewe tunazitoa wapi?
Mtuonee huruma jameni, huwezi kukamua ng'ombe ambae hana maziwa.