mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Avha
Hizi ni sawa na hesabu za wakulima wa watermelon wa Whatapp, wachangiaji 10m anawapatia wapi wakati kujaza tu uwanja wa Tabata huko anashindwa? Magu na ukuda wake wote saivi anapokea pesa za kina Rostam na wafanyabiashara biashara wengine ndio wafadhili wa kampeni zake.
Lissu kutokana na ratiba yake kuanzia next week anatakiwa kuanza kutumia helicopter, ataweza kwa hizi buku buku za watu 100, huyu jamaa hakujipanga kuja kugombea, hana mikakati zaidi ya kilio cha huruma.
Unaangalia suala hili Kwa hisia au kutokuwa na projections sahihi za takwimu.
Kila anayetaka kuwa huru kwenye uongozi wake hawezi kukaribisha kichangiwa na mafiaso bali wachangiaji wadodo wadogo kwa kuwa impact yao na ya michango Yao ni kubwa zaidi kuliko impact ya wachangia mafiaso.
Hebu angalia hesabu hii. Iwapo TAL atapata wachangiaji milioni 10, kila mmoja akamchangia tzs. elfu moja, ndani ya kipindi cha kampeini (miezi miwili) ataweza ku-raise na kutumia tzs bilioni 10, i.e. 10,000,000*1,000 = 10,000,000,000. Unadhani hiki ninkiasi kidogo? Kama atapata kiasi hicho, tayari atakuwa na akiba ya wapiga kura (voters benk) ya kiasi hicho. Unadhani akiba ya wapiga kura kiasi hicho siyo deciaive vote?
Hii ni sayansi ya siasa siyo hisia za mtu binafsi.