Uchaguzi 2020 Catherine Ruge tumia pesa za kiinua mgongo kufanya kampeni

Uchaguzi 2020 Catherine Ruge tumia pesa za kiinua mgongo kufanya kampeni

Huyu Dada asijisumbue bure wala hashindi ubunge Jimbo la Serengeti na Kesho nasafiri toka Dodoma kuja kumdhibiti vilivyo!!!!
 
Catherine Ruge ameingia bungeni May 2017 hivyo hajafikisha muda wa miaka mitano bungeni hata hivyo jambo la kuchangia campaign ni kawaida tu sio geni
Sasa braza sisi tu pesa ya kula chenga, hiyo ya kuchanga tunatoa wapi? Mlishe kwanza ng'ombe ndio umkamue maziwa, nyie mnataka kukamua maziwa bila hata ng'ombe kula majani. Mtakamua ma....vi
 
Huyu Dada asijisumbue bure wala hashindi ubunge Jimbo la Serengeti na Kesho nasafiri toka Dodoma kuja kumdhibiti vilivyo!!!!
Kama kuna michango kapokea tayari hebu fanya namna irudi kwa masikini waliochanga
 
Mgombea ubunge mh.Catherine Ruge wewe umekuwa mbunge wa kipindi cha miaka mitano iliyopita, nilitegemea ungesave ili uje kufanya kampeni vizuri bila kupitisha bakuli.

Catherine umelipwa mshahara + posho kila mwezi zaidi ya mil 12 kwa kipindi cha miaka 5 jumlisha na pesa ya kiinua mgongo zaidi ya mil 200.

Sasa leo inakuwaje tena unaomba mchango wa kampeni yako?

Sisi pesa za kukupa wewe tunazitoa wapi?

Mtuonee huruma jameni, huwezi kukamua ng'ombe ambae hana maziwa.

View attachment 1552380
Ntakupa mm hela zote za Kampeni
 
Kwa hili kweli hakuna tofauti na wachungaji wanaohubiri mwisho wa mahubiri linapita bakuli la sadaka.​
Uchumi wa kati umetunyoosha balaa kila raia anatembeza bakuli, mchungaji, mwanasiasa yani kila kona wanyonge wanakamuliwa.​
 
Chadema wameshafanya watanzania wajinga siasa sasa hv ni kazi si jambo la kujitolea iweje watake tuwachangie ?ili jambo serikali inatakiwa wangalie michango yote lazima wawe na approval kwa mtu tunaemchangia kama kweli anatakiwa kuchangiwa isije kuwa wametugeuza fursa
 
Kutoa ni moyo.
Nashangaa mataga wanalalamika wakati hata kwa mama zao hawatoi kitu.!
 
Yaani masikini anajitoa hali na mali kuendelea kumtajirisha tajiri. Mtu amekaa miaka mitano mjengoni, Kwa hesabu ndogo tu;

• Kipato chake ndani ya miaka mitano:- 12months x 11,000,000 x 5yrs = 660,000,000
• Kiinua mgongo cha miaka mitano tu (hearsay):- 230,000,000
• Jumla 890,000,000

Kifupi ni kuwa mbunge anaweza kupiga 1billion ndani ya miaka mitano, kwa level za kibongo huyu ni tajiri kabisa,. Then unakuja kuchangisha watu wanaotengeneza 300,000/- kwa mwezi, hakika Mungu anawaona.
 
Katika hizo namba ipi ndo yake ya mkononi? Huyu dada ni mzuri jamani acheni tumchangie tu hata akitaka achangiwe na pesa ya mavazi. Kiuhalisia huo mshahara wake hakupaswa kuutumia kabisa.... Tulipaswa wanaume tumwezeshe. Ni aibu huyu dada kuchangiwa ilipaswa apewe pesa...acheni tumpe sisi wenye nazo.
 
Back
Top Bottom