Uchaguzi 2020 Catherine Ruge tumia pesa za kiinua mgongo kufanya kampeni

Na hii michango ianze kukatwa kodi
Chadema wameshafanya watanzania wajinga siasa sasa hv ni kazi si jambo la kujitolea iweje watake tuwachangie ?ili jambo serikali inatakiwa wangalie michango yote lazima wawe na approval kwa mtu tunaemchangia kama kweli anatakiwa kuchangiwa isije kuwa wametugeuza fursa
 
Braza una akili sana aisee. Wnatukamua tu hwana hata huruma
Yaani masikini anajitoa hali na mali kuendelea kumtajirisha tajiri. Mtu amekaa miaka mitano mjengoni, Kwa hesabu ndogo tu;

• Kipato chake ndani ya miaka mitano:- 12months x 11,000,000 x 5yrs = 660,000,000
• Kiinua mgongo cha miaka mitano tu (hearsay):- 230,000,000
• Jumla 890,000,000

Kifupi ni kuwa mbunge anaweza kupiga 1billion ndani ya miaka mitano, kwa level za kibongo huyu ni tajiri kabisa,. Then unakuja kuchangisha watu wanaotengeneza 300,000/- kwa mwezi, hakika Mungu anawaona.
 
We mchangie tu ila jua miezi miwili iliyopita kavuta zaidi ya mil 200
Katika hizo namba ipi ndo yake ya mkononi? Huyu dada ni mzuri jamani acheni tumchangie tu hata akitaka achangiwe na pesa ya mavazi. Kiuhalisia huo mshahara wake hakupaswa kuutumia kabisa.... Tulipaswa wanaume tumwezeshe. Ni aibu huyu dada kuchangiwa ilipaswa apewe pesa...acheni tumpe sisi wenye nazo.
 
Pes
Mgombea ubunge mh.Catherine Ruge wewe umekuwa mbunge wa kipindi cha miaka mitano iliyopita, nilitegemea ungesave ili uje kufanya kampeni vizuri bila kupitisha bakuli.

Catherine umelipwa mshahara + posho kila mwezi zaidi ya mil 12 kwa kipindi cha miaka 5 jumlisha na pesa ya kiinua mgongo zaidi ya mil 200.

Sasa leo inakuwaje tena unaomba mchango wa kampeni yako?

Sisi pesa za kukupa wewe tunazitoa wapi?

Mtuonee huruma jameni, huwezi kukamua ng'ombe ambae hana maziwa.

View attachment 1552380
pesa za kugawa hatuna.then hawa waongozwe na busara,hekima na utu.
 
Mgombea ubunge mh.Catherine Ruge wewe umekuwa mbunge wa kipindi cha miaka mitano iliyopita, nilitegemea ungesave ili uje kufanya kampeni vizuri bila kupitisha bakuli.

Catherine umelipwa mshahara + posho kila mwezi zaidi ya mil 12 kwa kipindi cha miaka 5 jumlisha na pesa ya kiinua mgongo zaidi ya mil 200.

Sasa leo inakuwaje tena unaomba mchango wa kampeni yako?

Sisi pesa za kukupa wewe tunazitoa wapi?

Mtuonee huruma jameni, huwezi kukamua ng'ombe ambae hana maziwa.

View attachment 1552380
Ninawashauri uongozi wa Chadema kudhibiti michango holela. Ubakishwe mchango mmoja tu WA mgombea Urais, basi. Uholela wa michango ita-compromise integrity na response ya michango ya mgombea Urais.

Kukiwa na mwitikio wa kutosha kwenye michango ya mgombea Urais, wagombea ubunge wanaopungukiwa kwenye kampeini zao wanaweza kutambuliwa na kisha kupata mgao kutoka katika michango ya mgombea Urais.

Wagombea ubunge wanatakiwa kuoanisha (coordinate) kampeini zao na kampeini za wagombea udiwani.
 
NAJUA SASA HIZO NAZO NI PESA? MI NLIDHANI UTASEMA KAVUTA BIL 20. hiyo Mil 200plus ni pesa za yeye kununulia vipodozi,nguo na kwendea saluni. Acheni tumchangie mtoto mzuri. Hapaswi kuwa na mawazo.

We mchangie tu ila jua miezi miwili iliyopita kavuta zaidi ya mil 200
 
Ninawashauri uongozi wa Chadema kudhibiti michango holela. Ubakishwe mchango mmoja tu WA mgombea Urais, basi. Uholela wa michango ita-compromise integrity na response ya michango ya mgombea Urais.

Kukiwa na mwitikio wa kutosha kwenye michango ya mgombea Urais, wagombea ubunge wanaopungukiwa kwenye kampeini zao wanaweza kutambuliwa na kisha kupata mgao kutoka katika michango ya mgombea Urais.

Wagombea ubunge wanatakiwa kuoanisha (coordinate) kampeini zao na kampeini za wagombea udiwani.
Makao makuu hawatoi pesa yoyote ya kampeni kwa wagombea ubunge, ndio maana wagombea Ubunge na wao wameingia front kutembeza bakuli. Hata Lissu mwenyewe kampeni zake zipo hoi hamna pesa na watu wamewapuuza, kama anashindwa kutembea na watu wa PR tu, yaani mpiga picha, video na mtu wa ku deal na social medias tu.

Kingine fikiria Lissu yupo Dsm kwenye makao makuu ya ofisi na bado hana support yoyote, fikiria akifika Mvomero ambako hakuna hata mgombea wa CDM hata gari la matangazo ya mkutano hataweza kulipia, ataishia kuhutubia pembeni watu 100 barabarani na kuondoka.
 
Yaani masikini anajitoa hali na mali kuendelea kumtajirisha tajiri. Mtu amekaa miaka mitano mjengoni, Kwa hesabu ndogo tu;

• Kipato chake ndani ya miaka mitano:- 12months x 11,000,000 x 5yrs = 660,000,000
• Kiinua mgongo cha miaka mitano tu (hearsay):- 230,000,000
• Jumla 890,000,000

Kifupi ni kuwa mbunge anaweza kupiga 1billion ndani ya miaka mitano, kwa level za kibongo huyu ni tajiri kabisa,. Then unakuja kuchangisha watu wanaotengeneza 300,000/- kwa mwezi, hakika Mungu anawaona.
Mkuu Catherine ameanza kuwa mbunge wa viti maalumu lini! Au unakurupuka tu kuandika
 
Mbona Watu Wanasemaga wanawake wa kikurya wana sura za baba zao!siamini tena hilo
 
Kwani umefuatwa inbox kuwa uchangie kwa lazima?
Suala la kiinua mgongo chake ni suala mtambuka kama ujuavyo pesa ina mambo mengi.
Sisi kwenye moyo wa kutoa tunatoa kiroho safi bila maswali ya kiduanzi.
Hatulalamiki, tunahoji pesa za kiinua mgongo zaidi ya mil 200/wamepeleka wapi?
 
Makao makuu hawatoi pesa yoyote ya kampeni kwa wagombea ubunge, ndio maana wagombea Ubunge na wao wameingia front kutembeza bakuli. Hata Lissu mwenyewe kampeni zake zipo hoi hamna pesa na watu wamewapuuza, kama anashindwa kutembea na watu wa PR tu, yaani mpiga picha, video na mtu wa ku deal na social medias tu.

Kingine fikiria Lissu yupo Dsm kwenye makao makuu ya ofisi na bado hana support yoyote, fikiria akifika Mvomero ambako hakuna hata mgombea wa CDM hata gari la matangazo ya mkutano hataweza kulipia, ataishia kuhutubia pembeni watu 100 barabarani na kuondoka.
Ku-finance Kampeni mkakati na mipango inayotekelezeka.

Kisiasa, kuchangisha wapiga kura wakati wa kampeini ni sehemu ya mkakati wa kushirikisha wapiga kura kwenye kampeini, kuanzia kugharimia kampeini na kisha kumalizia na kumpigia kura waliyemgharimia kampeini zake.

Usifikiri variable moja tu ya pesa. Na hapa ndipo suala la integrity linatakiwa kuwa upheld, na kuzuia wagombea wengine wa ubunge na udiwani kutochanisha pesa za kampeini kwa sababu wao wanalenga zaidi pesa ya kampeini badala ya mkakati mkuu wa kuungwa mkono na wapiga kura kupitia michango ya kampeini.

Usipochangiwa na wapiga kura kisha ukawajibika kwao, utachagiwa na mafiaso (Rostam Azizi type) ambao lengo lao ni kuiteka Dola mara baada ya uchaguzi (mnamkumbuka Kagoda?) kukamilika!
 
Michango yetu ya buku buku kwa Tz haiendeshi kampeni, ni michango mikakati ya kuonyesha wananchi ndio wananiwezesha, wagombea wote wakubwa wanakuwa na back channels wanaotoa fungu la kueleweka la kuendesha kampeni.

Lissu saivi hana back channel, hana mfanyabiashara mkubwa anayempa support na michango hiyo ya buku buku pia inaonyesha inawafedhehesha wakerekwe wa CDM. Ukiangalia kampeni zako unaona kabisa hazina maandalizi, hamna coordination wala uhamasishaji, kwa mwendo huu huyu tayari ni Fungo la kukosa, akipata kura hata 2m ashukuru Mungu.
 
Mkuu Catherine ameanza kuwa mbunge wa viti maalumu lini! Au unakurupuka tu kuandika
Acha kukurupuka wewe, soma hoja yangu kama nimeandika Catherine pekee. Nimeandika ujumla wa mbunge, kiazi!
 
Mgombea ubunge mh.Catherine Ruge wewe umekuwa mbunge wa kipindi cha miaka mitano iliyopita, nilitegemea ungesave ili uje kufanya kampeni vizuri bila kupitisha bakuli.

Catherine umelipwa mshahara + posho kila mwezi zaidi ya mil 12 kwa kipindi cha miaka 5 jumlisha na pesa ya kiinua mgongo zaidi ya mil 200.

Sasa leo inakuwaje tena unaomba mchango wa kampeni yako?

Sisi pesa za kukupa wewe tunazitoa wapi?

Mtuonee huruma jameni, huwezi kukamua ng'ombe ambae hana maziwa.

View attachment 1552380
Ndiyo mjue Chadema ni genge la wapigaji yaani kalipwa zaidi ya milioni 200 anakuja tena kwa walalahoi anataka achangiwe ili akaendelee kupiga pesa za Ubunge!! Atawapata wajinga mimi NOOOOOOO!!
 
michango hiyo ya buku buku pia inaonyesha inawafedhehesha wakerekwe wa CDM. Ukiangalia kampeni zako unaona kabisa hazina maandalizi, hamna coordination wala uhamasishaji, kwa mwendo huu huyu tayari ni Fungo la kukosa, akipata kura hata 2m ashukuru Mungu.
Unaangalia suala hili Kwa hisia au kutokuwa na projections sahihi za takwimu.

Kila anayetaka kuwa huru kwenye uongozi wake hawezi kukaribisha kichangiwa na mafiaso bali wachangiaji wadodo wadogo kwa kuwa impact yao na ya michango Yao ni kubwa zaidi kuliko impact ya wachangia mafiaso.

Hebu angalia hesabu hii. Iwapo TAL atapata wachangiaji milioni 10, kila mmoja akamchangia tzs. elfu moja, ndani ya kipindi cha kampeini (miezi miwili) ataweza ku-raise na kutumia tzs bilioni 10, i.e. 10,000,000*1,000 = 10,000,000,000. Unadhani hiki ninkiasi kidogo? Kama atapata kiasi hicho, tayari atakuwa na akiba ya wapiga kura (voters benk) ya kiasi hicho. Unadhani akiba ya wapiga kura kiasi hicho siyo deciaive vote?

Hii ni sayansi ya siasa siyo hisia za mtu binafsi.
 
Mgombea ubunge mh.Catherine Ruge wewe umekuwa mbunge wa kipindi cha miaka mitano iliyopita, nilitegemea ungesave ili uje kufanya kampeni vizuri bila kupitisha bakuli.

Catherine umelipwa mshahara + posho kila mwezi zaidi ya mil 12 kwa kipindi cha miaka 5 jumlisha na pesa ya kiinua mgongo zaidi ya mil 200.

Sasa leo inakuwaje tena unaomba mchango wa kampeni yako?

Sisi pesa za kukupa wewe tunazitoa wapi?

Mtuonee huruma jameni, huwezi kukamua ng'ombe ambae hana maziwa.

View attachment 1552380
Huyu maza alitegemea angekatwa jina jamaa katupilia mbali mapingamizi nahela ya kampeni hana
 
Back
Top Bottom