Uchaguzi 2020 Catherine Ruge tumia pesa za kiinua mgongo kufanya kampeni

Wewe utachangiwa lini?? Yaani unatoa maji kwenge pipa unapeleka baharini?? Wajinga hamtaisha
Ni kweli,kama nilivyochangia tetemeko kagera,kama nilivyochangia luck vicent ajali,kama nilivyochangia ujenzi wa madarasa eneo ninalotoka ndivyo hivyo hivyo naendelea kunyoosha mkono wangu penye kheri!Usinipangie matumizi ya jasho langu!Kama hujaguswa kaa kando!
 
Hawa ng'ombe maziwa yamemalizwa na nini ?
 
MATAGA hivi kweli mnaakili?
Nyie wagombea wenu tena walikuwa mawaziri wamepitishwa bila kupingwa. Inamaana hawana kampeni licha ya kuwa na hela nyingi. Mbona hamuwasemi?
Kabudi makamba at el hamuoni aibu?
 
Wewe ndio catherine? Sikuelewielewi, hebu tueleze mil 200 umepeleka wapi?
 
Tuweke itikadi kando, hivi kwa mapato hayo for 5yrs kuna rationale gani kuomba michango? Hawa watu wanazingua sasa! Wanatuonaje akili zetu? Yani kabisa nachukua visenti vya mboga vya wanangu namtumia???[emoji853][emoji853][emoji853]
Miezi mitatu tu nyuma katoka kuchukua kiinua mgongo cha zaidi ya mil 200
 
Wewe ndio catherine? Sikuelewielewi, hebu tueleze mil 200 umepeleka wapi?
Sijui Tr 1.5 zilienda wapi ila nilipoombwa mchango wa tetemeko kagera na serikali nilichanga!So kama unateseka basi sema na wewe nikuchangie vocha!
 
Catherine Ruge ameingia bungeni May 2017 hivyo hajafikisha muda wa miaka mitano bungeni hata hivyo jambo la kuchangia campaign ni kawaida tu sio geni
 
Haujalazimishwa mkuu kama unacho wewe changia.
Ninacho ninatoa wapi? Sisi tunataka wao watuwezeshe sisi ula tuwe nacho, sasa hii ya kutukamua wakati hata majani hatujala HAPANA
 
Chadema ni chama cha matapeli, wapiga pesa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…