CC& NEC ya CCM kujichimbia kwa siku tatu Dodoma. Tutarajie nini kutoka maazimio ya CC ya CHADEMA hasa kuhusu wabunge 19

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029
IMG-20220925-WA0111.jpg

Kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 26 Septemba, 2022 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (CC) na tarehe 27 na 28 Septemba, 2022 Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC).

#CCMImara
#KaziIendeleeHA
 
View attachment 2368086

#KaziIendelee
Wanaweka mikakati ya kutafuta maeneo mengine ya tozo, baada ya kuona hizo tozo za Mwigulu, wananchi tumezipigia kelele Sana, hadi Serikali 🌌ikasalimu amri na kuzipunguza,🥺
 
CCM haiwezi kujadili ujinga Ule wa CC ya CHADEMA, hao COVID 19 ni mpaka 2025
Mbowe yuko busy kisa wake zake wako hoi mtaani, Tena Tunaomba Sheria iachwe ifuate mkondo wake sio kuwaonea dada hao
 
Wanaweka mikakati ya kutafuta maeneo mengine ya tozo, baada ya kuona hizo tozo za Mwigulu, wananchi tumezipigia kelele Sana, hadi Serikali 🌌ikasalimu amri na kuzipunguza,🥺
Wacha tuone tena hii,
 
Akina Halima ni mpaka 2025 ndio maana wanapewa kamati za kusimamia,Mbowe yuko hoi kiuchumi
 
Masikini wana matatizo kweli.Sledi inaeleza CCM kuwa na mkutano lakini comments zinaegemea kwa Mbowe.Huu umasikini mwili mzima utaisha lini?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Nimecheka eti Mbowe yuko hoi kiuchumi misisiyemu bwana .Mtu ni mfanyabiashara wa miaka tena international eti yuko hoi how
 
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI

hapo mazombie yanaenda kumsikiliza mwenyekiti anataka nini ili wapige makofi basi.

Pingana na fikra za mwenyekiti uone, utaitwa timu sukumagang.
 
View attachment 2368086

Kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 26 Septemba, 2022 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (CC) na tarehe 27 na 28 Septemba, 2022 Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC).

#CCMImara
#KaziIendelee
AZIMIO la kuifuta NCCR
 
Back
Top Bottom