CC& NEC ya CCM kujichimbia kwa siku tatu Dodoma. Tutarajie nini kutoka maazimio ya CC ya CHADEMA hasa kuhusu wabunge 19

CC& NEC ya CCM kujichimbia kwa siku tatu Dodoma. Tutarajie nini kutoka maazimio ya CC ya CHADEMA hasa kuhusu wabunge 19

Chama cha wanyonge na wavuja jasho

Chama cha vyombo vya dola. Nenda ukaone hayo mavx/r ya umma hapo nje ndio utajua unyonge wao. Wanyonge wa hicho chama kazi yao ni kusimamishwa kwenye jua kusubiri kuwashangilia wala cake ya taifa.
 
View attachment 2368086

Kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 26 Septemba, 2022 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (CC) na tarehe 27 na 28 Septemba, 2022 Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC).

#CCMImara
#KaziIendeleeHA
 
Wanaweka mikakati ya kutafuta maeneo mengine ya tozo, baada ya kuona hizo tozo za Mwigulu, wananchi tumezipigia kelele Sana, hadi Serikali 🌌ikasalimu amri na kuzipunguza,🥺
HAPANA,
 
Back
Top Bottom