CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Wanaweka mikakati ya kutafuta maeneo mengine ya tozo, baada ya kuona hizo tozo za Mwigulu, wananchi tumezipigia kelele Sana, hadi Serikali 🌌ikasalimu amri na kuzipunguza,🥺View attachment 2368086
Kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 26 Septemba, 2022 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (CC) na tarehe 27 na 28 Septemba, 2022 Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC).
#CCMImara
#KaziIendelee
Mbowe yuko busy kisa wake zake wako hoi mtaani, Tena Tunaomba Sheria iachwe ifuate mkondo wake sio kuwaonea dada haoCCM haiwezi kujadili ujinga Ule wa CC ya CHADEMA, hao COVID 19 ni mpaka 2025
Wacha tuone tena hii,Wanaweka mikakati ya kutafuta maeneo mengine ya tozo, baada ya kuona hizo tozo za Mwigulu, wananchi tumezipigia kelele Sana, hadi Serikali 🌌ikasalimu amri na kuzipunguza,🥺
Huyo mtu analamba asali ile nzito nzito acha kabisa Ndg yangu,Mbowe yuko busy kisa wake zake wako hoi mtaani, Tena Tunaomba Sheria iachwe ifuate mkondo wake sio kuwaonea dada hao
Nimecheka eti Mbowe yuko hoi kiuchumi misisiyemu bwana .Mtu ni mfanyabiashara wa miaka tena international eti yuko hoi howMasikini wana matatizo kweli.Sledi inaeleza CCM kuwa na mkutano lakini comments zinaegemea kwa Mbowe.Huu umasikini mwili mzima utaisha lini?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Hao ni masikini mwili mzima.Wana mawazo kama ngedere tu.Nimecheka eti Mbowe yuko hoi kiuchumi misisiyemu bwana .Mtu ni mfanyabiashara wa miaka tena international eti yuko hoi how
Mbowe yuko choka mbaya ndio maana analilia ubunge wa wanawakeNimecheka eti Mbowe yuko hoi kiuchumi misisiyemu bwana .Mtu ni mfanyabiashara wa miaka tena international eti yuko hoi how
Amelilia wapi?Mbowe yuko choka mbaya ndio maana analilia ubunge wa wanawake
AZIMIO la kuifuta NCCRView attachment 2368086
Kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 26 Septemba, 2022 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (CC) na tarehe 27 na 28 Septemba, 2022 Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC).
#CCMImara
#KaziIendelee
Ujinga wakati CCM ndio Wajinga kwa kuwalipa Mishahara Wabunge Fake kwa Tozo la Wananchi wake masikiniCCM haiwezi kujadili ujinga Ule wa CC ya CHADEMA, hao COVID 19 ni mpaka 2025
AZIMIO la kuifuta NCCR
NCCR inamadhara gani kwa CCMAZIMIO la kuifuta NCCR
Mbowe anataka awake wake zake tuUjinga wakati CCM ndio Wajinga kwa kuwalipa Mishahara Wabunge Fake kwa Tozo la Wananchi wake masikini