Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Kuna uzi upo humu ,wameweka list..Natamani nione hii orodha ya hivi vituo vipya vya afya na hizo sekondari mpya zilizojengwa na tozo mwenye kujua aorodheshe hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uzi upo humu ,wameweka list..Natamani nione hii orodha ya hivi vituo vipya vya afya na hizo sekondari mpya zilizojengwa na tozo mwenye kujua aorodheshe hapa
Hadi wewe inakuathili?safiNi sahihi kabisa bei za bando sio rafiki kabisa,
Kwani mimi sio Mtanzania?Hadi wewe inakuathili?safi
CCM yatoa maelekezo kwa Serikali kuhusu tozo,Asante CCM kwa kulituliza Taifa,
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na kujielekeza katika kubana matumizi ya serikali na kutanua wigo wa kodi.
![]()
View attachment 2350888

Hayo yamebainishwa leo Alhamisi Septemba 8, 2022 jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka wakati akizungumzia maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichokaa jana Septemba 8, 2022 kikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
CCM imeingilia kati tozo siku chache baada ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba pamoja na mawaziri wenzake kujitokeza kuzungumzia tozo wakati kukiwa na malalamiko ya wananchi na wadau wengine kuhusu tozo hizo.
Shaka amesema Kamati Kuu imewapongeza Rais Samia na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kwa kazi nzuri wanayoifanya na pia kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya uchaguzi.
View attachment 2350889
Amesema Kamati Kuu inatambua mafanikio yaliyofikiwa kutokana na mapato ya tozo kama vile ujenzi wa vituo vya afya 234 pamoja na sekondari 214. Hata hivyo, imeielekeza Serikali kutazama hali halisi na kuchukua maoni ya wananchi kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki.
"Kamati Kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa umeielekeza Serikali kutazama hali halisi na kuchukua hatua stahiki kuhusu maoni na ushauri wa wananchi kuhusu tozo.
"Kamati Kuu ya CCM imeielekeza Serikali kufikiria na kujielekeza katika kubana matumizi ya Serikali lakini pia kuendelea kujenga mazingira rafiki na wezeshi ili kujenga uchumi imara unaozalisha kwa lengo la kutanua wigo wa kodi pamoja na kubuni vyanzo vipya vya kodi ili kuwa na viwango na mfumo rafiki wa kodi kwa kila mmoja," amesema Shaka.
Shaka amewataka wasaidizi wa Rais Samia washuke chini kwa wananchi ili kusikiliza shida zao sambamba na kujua hali halisi ya maisha yao. "Tunafuatilia mwenendo na uwajibikaji wa wateule wote wa Rais. Chama ndiyo mwenye mali, kwa hiyo lazima tuimamie serikali," amesema Shaka wakati akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari katika Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba jijini hapa.
Mimi sina chama ila CCM chama sikivu Sana, Tunawashukuru mno,
CCM waliondani ya bunge wamepitisha tozo CCM mlio nje ya bunge mnapinga tozo mbona hamuelewekiCCM chama cha wanyonge na walalahoi kamwe wasingekubali Wananchi waendelee kulalamika,
VIVA CCM VIVA
VIVA SAMIA VIVA
VIVA KINANA VIVA
VIVA CHOGOLO VIVA
VIVA SHAKA VIVA
VIVA......... VIVA
Sasa sikiliza wewe bwege...Hongera sana chama kubwa
Tunasema kaz iendelee.usikivu huu ni wa kiwango cha hali ya juu sana
Hata vijana wa ufipa nipo nao wanasema kazi iendelee
Hahahahah.........CC ambayo Mwenyekiti wake ni SSH yaelekeza Serikali kuangalia upya tozo. Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais SSH yaanzisha tozo na kuunga mkono kwa nguvu zote Na kuamuru wananchi ambao hawapo tayari kwa tozo wahamie Burundi.CCM chama cha wanyonge na walalahoi kamwe wasingekubali Wananchi waendelee kulalamika,
VIVA CCM VIVA
VIVA SAMIA VIVA
VIVA KINANA VIVA
VIVA CHOGOLO VIVA
VIVA SHAKA VIVA
VIVA......... VIVA
Pia tuwekewe na orodha ya vituo ama matumizi ya hela za World Bank, IMF na COVID-19Natamani nione hii orodha ya hivi vituo vipya vya afya na hizo sekondari mpya zilizojengwa na tozo mwenye kujua aorodheshe hapa
Habari za siku nyingi, Mkuu.Sasa sikiliza wewe bwege...
Aliyebuni, kuunda na kusimamia wizi ni CCM
Anayetafuta namna ya kumaliza wizi ni CCM
View attachment 2351061
Ngoja sasa nikutafsiriye maana ya nukuu hiyo...
Hatuwezi kutatua matatizo yetu
kwa fikra zile zile tulizotumia kuyaunda!
Salama TUJITEGEMEE, tumeruka m*, tunajitahidi tusikanyage m*, je tutaweza kukwepa? Naona kama vile hatuponi!Habari za siku nyingi, Mkuu.
Mkuu, Ninaamini uwepo wenu na kuendelea kutoa maoni ama ushauri na wakati mwingine kukemea inaweza kusaidia tukakwepa kukanyaga ***i.Salama TUJITEGEMEE, tumeruka m*, tunajitahidi tusikanyage m*, je tutaweza kukwepa? Naona kama vile hatuponi!
Zitazamwe upya Zina Nini? Hapa makelele haya ni kwa sababu tozo za banks zinawagusa watu wa mjini ambao wamekuwa Wanufaika wa jasho la watu wa Vijijini miaka na mikaka..CCM yatoa maelekezo kwa Serikali kuhusu tozo,Asante CCM kwa kulituliza Taifa,
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na kujielekeza katika kubana matumizi ya serikali na kutanua wigo wa kodi.
![]()
View attachment 2350888
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na kujielekeza katika kubana matumizi ya serikali na kutanua wigo wa kodi.
Hayo yamebainishwa leo Alhamisi Septemba 8, 2022 jijini Dar es Salaam na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka wakati akizungumzia maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichokaa jana Septemba 8, 2022 kikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
CCM imeingilia kati tozo siku chache baada ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba pamoja na mawaziri wenzake kujitokeza kuzungumzia tozo wakati kukiwa na malalamiko ya wananchi na wadau wengine kuhusu tozo hizo.
Shaka amesema Kamati Kuu imewapongeza Rais Samia na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kwa kazi nzuri wanayoifanya na pia kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya uchaguzi.
View attachment 2350889
Amesema Kamati Kuu inatambua mafanikio yaliyofikiwa kutokana na mapato ya tozo kama vile ujenzi wa vituo vya afya 234 pamoja na sekondari 214. Hata hivyo, imeielekeza Serikali kutazama hali halisi na kuchukua maoni ya wananchi kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki.
"Kamati Kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa umeielekeza Serikali kutazama hali halisi na kuchukua hatua stahiki kuhusu maoni na ushauri wa wananchi kuhusu tozo.
"Kamati Kuu ya CCM imeielekeza Serikali kufikiria na kujielekeza katika kubana matumizi ya Serikali lakini pia kuendelea kujenga mazingira rafiki na wezeshi ili kujenga uchumi imara unaozalisha kwa lengo la kutanua wigo wa kodi pamoja na kubuni vyanzo vipya vya kodi ili kuwa na viwango na mfumo rafiki wa kodi kwa kila mmoja," amesema Shaka.
Shaka amewataka wasaidizi wa Rais Samia washuke chini kwa wananchi ili kusikiliza shida zao sambamba na kujua hali halisi ya maisha yao. "Tunafuatilia mwenendo na uwajibikaji wa wateule wote wa Rais. Chama ndiyo mwenye mali, kwa hiyo lazima tuimamie serikali," amesema Shaka wakati akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari katika Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba jijini hapa.
Hakuna lolote hapa ni baada ya kuona kamnpuni kubwa kama Vodacom zimeanza kupoteza faida hivyo kuogopa kudodoresha uchumi wa nchi.Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na kujielekeza katika kubana matumizi ya serikali na kutanua wigo wa kodi.
Chama ndiyo mwenye mali, kwa hiyo lazima tuimamie serikali,"