CCM 2022 yafyeka waliofyeka wenzao 2020 - CHADEMA watakuwa na nguvu za miaka ya 2005?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
2,091
Reaction score
1,918
WanaJf,
SALAAM!

Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK

1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia kwa mbali;
3. Kagera, Karamagi nae akiushangaza umma wa Bukoba dhidi ya mtetezi Mama Buhiye;
4. Dar, Mtemvu akimcharaza Mama Kate Kamba nk nk nk.

Je, hili litachochea kukua kwa watani zetu kama ilivyokuwa miaka ya 2005?

Msakila Kabende
Kakonko.
 
Futa neno utani kwenye mambo yahusuyo maisha.Utani mfanyie vitandani huko CCM.
 
WanaJf,
SALAAM!

Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK

1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia kwa mbali;

Je, hili litachochea kukua kwa watani zetu kama ilivyokuwa miaka ya 2005?

Msakila Kabende
Kakonko.
Mpyaa ndiye nani! Kiboye hakugombea huko Mara?
 
WanaJf,
SALAAM!

Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK

1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia kwa mbali;
3. Kagera, Karamagi nae akiushangaza umma wa Bukoba dhidi ya mtetezi Mama Buhiye;
4. Dar, Mtemvu akimcharaza Mama Kate Kamba nk nk nk.

Je, hili litachochea kukua kwa watani zetu kama ilivyokuwa miaka ya 2005?

Msakila Kabende
Kakonko.
CCM inaenda rivasi
 
chadema hapajapaki na chama pale, wanaendeshwa na upepo tu na mamluki wamejaa. ndio maana utaona sasaivi wanamshabikia sana dr.bashiru na wanamsifu as if kuna lolote, kumbe hawajui wamepangwa. unakumbuka kipindi wanamshangilia lowasa hadi wanadeki barabara,sumaye, nyalandu n.k, huwa wepesi sana kuchukuliwa na upepo afu wakilizwa wanaanza kulialia.
 
Nani anamsifu bashiru ?
 
Mkuu unaweza ukawa umeandika kwa ufupi sana lakini mimi naona hii hoja yako ni kubwa sana sana kuliko ulivyoiweka.

Nimeona umeweka heading inayogusa hisia za wanasiasa wakongwe na wanaharakati wa siasa nchini. Kurudi kwa old gang maana yake ni kupanga safu za watakaokuja kuweka wagombea kwenye nafasi za dola.

Ninaona CCM inajimega kwa nguvu kubwa kuliko ilivyotarajiwa. Ukiondoa ukatili wa kisiasa wa awamu ya tano, ninaiona safu ya CCM asili wakikosa hata dawati ndani ya CCM Maslahi.

Ninaiona Siasa ya ushindani mkali sana ikirejea kwa nguvu zote na hili litatokana na karata watakaypicheza wapinzani kuelekea uchaguzi mkuu 2025 na zijazo. Uwepo wa CHADEMA kwenye siasa za nchi hii unajengq uwiano wa mwenendo wa siasa na ushindani wa sera.

Kitendo cha kuukandamiza upinzani ni makosa makubwa sana. Ninatamani kuona siasa za ushindani zinashika kasi ili kuharakisha maendeleo ya nchi.

Kataa CCM uliokoe Taifa
 
The old guard is back, sidhani kama kutakua na jipya, it's just recycling , wap succession plan ya nchi hii.
 
chadema hapajapaki na chama pale, wanaendeshwa na upepo tu na mamluki wamejaa. ndio maana utaona sasaivi wanamshabikia sana dr.bashiru na wanamsifu as if kuna lolote, kumbe hawajui wamepangwa. unakumbuka kipindi wanamshangilia lowasa hadi wanadeki barabara,sumaye, nyalandu n.k, huwa wepesi sana kuchukuliwa na upepo afu wakilizwa wanaanza kulialia.
Mzee Warioba ni Chadema?

Kwanini huwa kila kitu mnaihusisha chadema? Na kama hapajabaki Chama kwa chadema kwanini mnawazuia kutimiza haki yao ya kufanya siasa za wazi na za usawa?
 
WanaJf,
SALAAM!

Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK

1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia kwa mbali;
3. Kagera, Karamagi nae akiushangaza umma wa Bukoba dhidi ya mtetezi Mama Buhiye;
4. Dar, Mtemvu akimcharaza Mama Kate Kamba nk nk nk.

Je, hili litachochea kukua kwa watani zetu kama ilivyokuwa miaka ya 2005?

Msakila Kabende
Kakonko.

Chadema au chama kingine chochote hakiwezi kuwa na nguvu za kufikia kuitoa ccm madarakani ikiwa katiba itakuwa ni hihi na Tume ya uchaguzi ni hii mifumo ya Serikali nii hihi ni ngumu mno mnafikiri chadema inaweza kuwa na nguvu nafikiri hamjaribu kutafakari juu ya mifumo yetu na jins wananchi walivyo na uelewa mdogo wasiojua kusimamia haki zao wasio jua kudai haki zao pale wanapo polwa hiv unaweza kukua kwenye nchi yenye watu wanao weza kuwa upande wa anae watesa pale anapo tokea mtu akajitoa kuwa tetea jiulizeni hiv kwa tabu wanazo pata na malalamiko wanao lalamika wakulima wafanyakaz na wafanya biashara kwa mtu mwenye utimamu unategemea makundi haya leo yasimame kumpongeza Rais yoyote alie pita na aliepo sasa [emoji23] halafu useme et unataka vyama vikue vitakulia wapi
 
Back
Top Bottom