CCM 2022 yafyeka waliofyeka wenzao 2020 - CHADEMA watakuwa na nguvu za miaka ya 2005?

Mzee Warioba ni Chadema?

Kwanini huwa kila kitu mnaihusisha chadema? Na kama hapajabaki Chama kwa chadema kwanini mnawazuia kutimiza haki yao ya kufanya siasa za wazi na za usawa?
yanayoihusisha chadema ni yale mala ngada na mapoyoyo ya ccm
 
Mzee Warioba ni Chadema?

Kwanini huwa kila kitu mnaihusisha chadema? Na kama hapajabaki Chama kwa chadema kwanini mnawazuia kutimiza haki yao ya kufanya siasa za wazi na za usawa?
ni danganya toto tu mnafanyiwa. mtadanganywa hadi lini?
 
WanaJf,
SALAAM!

Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK

1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia kwa mbali;
3. Kagera, Karamagi nae akiushangaza umma wa Bukoba dhidi ya mtetezi Mama Buhiye;
4. Dar, Mtemvu akimcharaza Mama Kate Kamba nk nk nk.

Je, hili litachochea kukua kwa watani zetu kama ilivyokuwa miaka ya 2005?

Msakila Kabende
Kakonko.

Kapita nani huko mara?baada ya kiboye kukatwa?
 
Mwambieni huyo mamaenu hii nguvu aitumie kuleta umeme, maji na kupunguza makali ya maisha kuliko huu utaahira wenu
 
Jamal hata kura za maoni za ubunge hua anashinda sema wanamfyeka jina lakini kule watu wanamkubali sana yule Mwarabu.
Kiufupi Waarabu,Wahindi ,Waburushi na Wasomali wameshinda Mikoa mingi Sana hapa Tanzania na sababu kubwa Ni kwamba Wana Pesa Sasa chukua njaa ya waswahili Nani atawashinda?
 
Mwambieni huyo mamaenu hii nguvu aitumie kuleta umeme, maji na kupunguza makali ya maisha kuliko huu utaahira wenu
Umeme na maji sio madarasa kwamba ndani ya miezi 3 vinakuwepo..

Serikali utafuta hizo shida zenu kabla ya 2025..

Maji bajeti imetoka 345 bln Sasa Ni 760 bln..

Umeme Bajeti imetoka Til.1.3 Sasa Ni Til.1.9..

Iko hivyo sekta zote ikiwemo sekta ya kilimo ambayo Bashiru alikuwa anaropoka,kutoka bil.250 Hadi bil.950..

Rais Samia sio level za wajinga.
 
WanaJf,
SALAAM!

Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK

1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia kwa mbali;
3. Kagera, Karamagi nae akiushangaza umma wa Bukoba dhidi ya mtetezi Mama Buhiye;
4. Dar, Mtemvu akimcharaza Mama Kate Kamba nk nk nk.

Je, hili litachochea kukua kwa watani zetu kama ilivyokuwa miaka ya 2005?

Msakila Kabende
Kakonko.
Hatuhitaji makapi toka CCM tumeshajifunza kiasi cha kutosha.
 
chadema hapajapaki na chama pale, wanaendeshwa na upepo tu na mamluki wamejaa. ndio maana utaona sasaivi wanamshabikia sana dr.bashiru na wanamsifu as if kuna lolote, kumbe hawajui wamepangwa. unakumbuka kipindi wanamshangilia lowasa hadi wanadeki barabara,sumaye, nyalandu n.k, huwa wepesi sana kuchukuliwa na upepo afu wakilizwa wanaanza kulialia.
Sisi hatumshabikii Bashiru bali tunachochea kuni ili mzidi kupasuana
 
Wenye chama wamerejea, Pedeshee Karamagi ndani ya nyumba.
CCM 2005 iliyombeba JK ndiyo hiyo imejisuka upya kuhakikisha Maza anapenya ndani ya CCM kuelekea 2025, Bila wapinzani kuugana na kuwa na ajenda moja tu ya KATIBA MPYA ni dhahiri watabaki washangiliaji tu kwenye mtanange ujao wa 2025.

Kuna baadhi ya vyama havijielewi vinataka nini kuelekea uchaguzi mkuu 2025, CDM mmeonyesha njia na Mungu atakuwa na ninyi... nyie ndiyo tumaini pekee la watanzania lililobakia.
 
WanaJf,
SALAAM!

Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK

1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia kwa mbali;
3. Kagera, Karamagi nae akiushangaza umma wa Bukoba dhidi ya mtetezi Mama Buhiye;
4. Dar, Mtemvu akimcharaza Mama Kate Kamba nk nk nk.

Je, hili litachochea kukua kwa watani zetu kama ilivyokuwa miaka ya 2005?

Msakila Kabende
Kakonko.
Karamagi wa kagera anasifika sana kwa kutembeza mkwanja kwa wajumbe tangu zamani, genge la wahuni na mafisadi la jk limeshika hatamu
 
CCM 2005 iliyombeba JK ndiyo hiyo imejisuka upya kuhakikisha Maza anapenya ndani ya CCM kuelekea 2025, Bila wapinzani kuugana na kuwa na ajenda moja tu ya KATIBA MPYA ni dhahiri watabaki washangiliaji tu kwenye mtanange ujao wa 2025.

Kuna baadhi ya vyama havijielewi vinataka nini kuelekea uchaguzi mkuu 2025, CDM mmeonyesha njia na Mungu atakuwa na ninyi... nyie ndiyo tumaini pekee la watanzania lililobakia.
CDM ukabila na ukanda, nani anawataka?
 
Jadilini bila lugha za matusi - mijadala ya welevu ni tofauti na ile ya walevi.
 
WanaJf,
SALAAM!

Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK

1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia kwa mbali;
3. Kagera, Karamagi nae akiushangaza umma wa Bukoba dhidi ya mtetezi Mama Buhiye;
4. Dar, Mtemvu akimcharaza Mama Kate Kamba nk nk nk.

Je, hili litachochea kukua kwa watani zetu kama ilivyokuwa miaka ya 2005?

Msakila Kabende
Kakonko.
Demokrasia ya kweli ipo CCM. Hivi Professor Lipumba bado Mwenyekiti CUF (1999-2022)
 
Back
Top Bottom