Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Futa neno utani kwenye mambo yahusuyo maisha.Utani mfanyie vitandani huko CCM.WanaJf,
SALAAM!
Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK
1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia kwa mbali;
3. Kagera, Karamagi nae akiushangaza umma wa Bukoba dhidi ya mtetezi Mama Buhiye;
4. Dar, Mtemvu akimcharaza Mama Kate Kamba nk nk nk.
Je, hili litachochea kukua kwa watani zetu kama ilivyokuwa miaka ya 2005?
Msakila Kabende
Kakonko.
Wampe wizara ya nishati; labda atamaliza hii migao.Wenye chama wamerejea, Pedeshee Karamagi ndani ya nyumba.
Mpyaa ndiye nani! Kiboye hakugombea huko Mara?WanaJf,
SALAAM!
Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK
1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia kwa mbali;
Je, hili litachochea kukua kwa watani zetu kama ilivyokuwa miaka ya 2005?
Msakila Kabende
Kakonko.
CCM inaenda rivasiWanaJf,
SALAAM!
Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK
1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia kwa mbali;
3. Kagera, Karamagi nae akiushangaza umma wa Bukoba dhidi ya mtetezi Mama Buhiye;
4. Dar, Mtemvu akimcharaza Mama Kate Kamba nk nk nk.
Je, hili litachochea kukua kwa watani zetu kama ilivyokuwa miaka ya 2005?
Msakila Kabende
Kakonko.
Huyo Karamagi ndio aliyekuwa Waziri enzi za JK mwanzoni.?Wenye chama wamerejea, Pedeshee Karamagi ndani ya nyumba.
Alikatwa, hakugombeaMpyaa ndiye nani! Kiboye hakugombea huko Mara?
Huyo huyoHuyo Karamagi ndio aliyekuwa Waziri enzi za JK mwanzoni.?
chadema hapajapaki na chama pale, wanaendeshwa na upepo tu na mamluki wamejaa. ndio maana utaona sasaivi wanamshabikia sana dr.bashiru na wanamsifu as if kuna lolote, kumbe hawajui wamepangwa. unakumbuka kipindi wanamshangilia lowasa hadi wanadeki barabara,sumaye, nyalandu n.k, huwa wepesi sana kuchukuliwa na upepo afu wakilizwa wanaanza kulialia.WanaJf,
SALAAM!
Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK
1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia kwa mbali;
3. Kagera, Karamagi nae akiushangaza umma wa Bukoba dhidi ya mtetezi Mama Buhiye;
4. Dar, Mtemvu akimcharaza Mama Kate Kamba nk nk nk.
Je, hili litachochea kukua kwa watani zetu kama ilivyokuwa miaka ya 2005?
Msakila Kabende
Kakonko.
Nani anamsifu bashiru ?chadema hapajapaki na chama pale, wanaendeshwa na upepo tu na mamluki wamejaa. ndio maana utaona sasaivi wanamshabikia sana dr.bashiru na wanamsifu as if kuna lolote, kumbe hawajui wamepangwa. unakumbuka kipindi wanamshangilia lowasa hadi wanadeki barabara,sumaye, nyalandu n.k, huwa wepesi sana kuchukuliwa na upepo afu wakilizwa wanaanza kulialia.
Mkuu unaweza ukawa umeandika kwa ufupi sana lakini mimi naona hii hoja yako ni kubwa sana sana kuliko ulivyoiweka.WanaJf,
SALAAM!
Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK
1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura;
2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia kwa mbali;
3. Kagera, Karamagi nae akiushangaza umma wa Bukoba dhidi ya mtetezi Mama Buhiye;
4. Dar, Mtemvu akimcharaza Mama Kate Kamba nk nk nk.
Je, hili litachochea kukua kwa watani zetu kama ilivyokuwa miaka ya 2005?
Msakila Kabende
Kakonko.
Mzee Warioba ni Chadema?chadema hapajapaki na chama pale, wanaendeshwa na upepo tu na mamluki wamejaa. ndio maana utaona sasaivi wanamshabikia sana dr.bashiru na wanamsifu as if kuna lolote, kumbe hawajui wamepangwa. unakumbuka kipindi wanamshangilia lowasa hadi wanadeki barabara,sumaye, nyalandu n.k, huwa wepesi sana kuchukuliwa na upepo afu wakilizwa wanaanza kulialia.
WanaJf,