CCM 2022 yafyeka waliofyeka wenzao 2020 - CHADEMA watakuwa na nguvu za miaka ya 2005?

Mzee Warioba ni Chadema?

Kwanini huwa kila kitu mnaihusisha chadema? Na kama hapajabaki Chama kwa chadema kwanini mnawazuia kutimiza haki yao ya kufanya siasa za wazi na za usawa?
yanayoihusisha chadema ni yale mala ngada na mapoyoyo ya ccm
 
Mzee Warioba ni Chadema?

Kwanini huwa kila kitu mnaihusisha chadema? Na kama hapajabaki Chama kwa chadema kwanini mnawazuia kutimiza haki yao ya kufanya siasa za wazi na za usawa?
ni danganya toto tu mnafanyiwa. mtadanganywa hadi lini?
 

Kapita nani huko mara?baada ya kiboye kukatwa?
 
Mwambieni huyo mamaenu hii nguvu aitumie kuleta umeme, maji na kupunguza makali ya maisha kuliko huu utaahira wenu
 
Jamal hata kura za maoni za ubunge hua anashinda sema wanamfyeka jina lakini kule watu wanamkubali sana yule Mwarabu.
Kiufupi Waarabu,Wahindi ,Waburushi na Wasomali wameshinda Mikoa mingi Sana hapa Tanzania na sababu kubwa Ni kwamba Wana Pesa Sasa chukua njaa ya waswahili Nani atawashinda?
 
Mwambieni huyo mamaenu hii nguvu aitumie kuleta umeme, maji na kupunguza makali ya maisha kuliko huu utaahira wenu
Umeme na maji sio madarasa kwamba ndani ya miezi 3 vinakuwepo..

Serikali utafuta hizo shida zenu kabla ya 2025..

Maji bajeti imetoka 345 bln Sasa Ni 760 bln..

Umeme Bajeti imetoka Til.1.3 Sasa Ni Til.1.9..

Iko hivyo sekta zote ikiwemo sekta ya kilimo ambayo Bashiru alikuwa anaropoka,kutoka bil.250 Hadi bil.950..

Rais Samia sio level za wajinga.
 
Hatuhitaji makapi toka CCM tumeshajifunza kiasi cha kutosha.
 
Sisi hatumshabikii Bashiru bali tunachochea kuni ili mzidi kupasuana
 
Wenye chama wamerejea, Pedeshee Karamagi ndani ya nyumba.
CCM 2005 iliyombeba JK ndiyo hiyo imejisuka upya kuhakikisha Maza anapenya ndani ya CCM kuelekea 2025, Bila wapinzani kuugana na kuwa na ajenda moja tu ya KATIBA MPYA ni dhahiri watabaki washangiliaji tu kwenye mtanange ujao wa 2025.

Kuna baadhi ya vyama havijielewi vinataka nini kuelekea uchaguzi mkuu 2025, CDM mmeonyesha njia na Mungu atakuwa na ninyi... nyie ndiyo tumaini pekee la watanzania lililobakia.
 
Karamagi wa kagera anasifika sana kwa kutembeza mkwanja kwa wajumbe tangu zamani, genge la wahuni na mafisadi la jk limeshika hatamu
 
CDM ukabila na ukanda, nani anawataka?
 
Jadilini bila lugha za matusi - mijadala ya welevu ni tofauti na ile ya walevi.
 
Demokrasia ya kweli ipo CCM. Hivi Professor Lipumba bado Mwenyekiti CUF (1999-2022)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…