Uchaguzi 2020 CCM asili tunampa Lissu kura zetu

Mimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa money laundering. Nikaufyata. Ila kwa kweli tuna jambo let tarehe 28 Oktoba.

Tuko wengi. Rafiki yangu ni katibu wa CCM mkoa, naye ana lake jambo 28 October. Yeye alimchangia Lissu laki 5 na mgombea ubunge laki moja. Tunaonekana kijani, lakini mioyoni tuna jambo let. Wana CCM wenzangu, CCM asili, fanyeni kweli tarehe 28 October.

Tugawane mbao na hawa CCM mpya. Kura kwa Lissu
Wale ccm mnaojua cha kufanya Kura kwa Lissu. Mtaishi kwa amani na kufanya siasa zenu safi mkiwa huko huko ccm chini ya lissu nchi itatamalaki amani tele.
 
Mimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa money laundering. Nikaufyata. Ila kwa kweli tuna jambo let tarehe 28 Oktoba.

Tuko wengi. Rafiki yangu ni katibu wa CCM mkoa, naye ana lake jambo 28 October. Yeye alimchangia Lissu laki 5 na mgombea ubunge laki moja. Tunaonekana kijani, lakini mioyoni tuna jambo let. Wana CCM wenzangu, CCM asili, fanyeni kweli tarehe 28 October.

Tugawane mbao na hawa CCM mpya. Kura kwa Lissu
Pole mkuu! Kuna njia nyingi za kuingiza kipato mbali na siasa.... Mie mwenyewe baada ya kuliwa kichwa nikaiweka siasa pembeni na kujikita kwenye biashara yangu ya genge.. Naingiza laki mbili kwa siku.. Mungu anipe nini!
Hapa niko nahakikisha chama kipate ushindi mnono ili tuwakabidhi kijiti walioshinda tuendelee kupiga pesa kimya kimya huku kijiweni.
Tuonane tena 2025 panapo majaaliwa!
 
Kumbe ni kwa sababu ulikatwa! Filimbi ya mwisho ni October 28
 
Mimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa money laundering. Nikaufyata. Ila kwa kweli tuna jambo let tarehe 28 Oktoba.

Tuko wengi. Rafiki yangu ni katibu wa CCM mkoa, naye ana lake jambo 28 October. Yeye alimchangia Lissu laki 5 na mgombea ubunge laki moja. Tunaonekana kijani, lakini mioyoni tuna jambo let. Wana CCM wenzangu, CCM asili, fanyeni kweli tarehe 28 October.

Tugawane mbao na hawa CCM mpya. Kura kwa Lissu
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayempa Magufuli kura. Nasema hakuna
 
Nafikiri CCM ita shinda ina mtaji mkubwa vijijini ambako kuna asilimia kubwa ya Watanzania haya ni maoni yangu
Zamani zile walikuwa ni wazee waliokuwa wanachama wa ccm, hivi sasa wazee wa enzi zile wengi wao wameshafariki na miji yao imerithiwa na vijana.
Hii haiwezi kuwa ni moja wapo ya sababu zenu za kuhalalisha wizi wa kura.
 
Mimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa money laundering. Nikaufyata. Ila kwa kweli tuna jambo let tarehe 28 Oktoba.

Tuko wengi. Rafiki yangu ni katibu wa CCM mkoa, naye ana lake jambo 28 October. Yeye alimchangia Lissu laki 5 na mgombea ubunge laki moja. Tunaonekana kijani, lakini mioyoni tuna jambo let. Wana CCM wenzangu, CCM asili, fanyeni kweli tarehe 28 October.

Tugawane mbao na hawa CCM mpya. Kura kwa Lissu
😂😂😂 hizo ni chuki zenu binafsi zinazotokana na kuenguliwa, lakini je vipi msingeenguliwa mngempigia lissu pia ?
 
Pole mkuu! Kuna njia nyingi za kuingiza kipato mbali na siasa.... Mie mwenyewe baada ya kuliwa kichwa nikaiweka siasa pembeni na kujikita kwenye biashara yangu ya genge.. Naingiza laki mbili kwa siku.. Mungu anipe nini!
Hapa niko nahakikisha chama kipate ushindi mnono ili tuwakabidhi kijiti walioshinda tuendelee kupiga pesa kimya kimya huku kijiweni.
Tuonane tena 2025 panapo majaaliwa!
Endeleeni kuwafanganya wajinga wenzenu. Siasa ina impact kubwa kwa kila Mwananchi iwe unaifuatilia au unaifuatilia kwa sababu maamuzi ya wana siasa yanawaathili binadamu wote wawe wachapa kazi wasiofuatilia siasa au wanaofuatilia

Nakupa mfano, Kabla ya tamko la Magufuli kuzuia uagizwaji wa sukari kutoka nje, ulikuwa unanunua sukari shs ngapi??? Na sasa unanunua shs ngapi???

Swali la pili, wafanyabiashara na wakulima wa korosho kusini mwa Tanzania wana hali gani sasaivi kutokana na maamuzi ya magufuli ya kuharibu soko Olais korosho???
 
Kocha anapopanga timu yake afu wewe ukaingia uwanjani kucheza na wakati hukupangwa inakuwa ni kihere here na FFU wanaweza kuja kukutoa mzobe mzobe na virungu juu! Kama uliomba kucheza mechi na kocha hakukupanga bac unakwenda kupumzika kwenye jukwaa la mashabiki ukitizama mechi inavyochezwa... Ndicho kinachofanyika hapa.
 
Hili litatokea sana, ccm wengi wana madukuduku tokea enzi za uteuzi wa mwenyekiti kuwa mgombea demokrasia ili nyimwa muda wa kupumua umewadia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom