Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Chama cha mapinduzi kipo kimya kuanzia juu mpaka chini, means wao kwao fikra za Mwenyekiti zidumu.
Nasema hivyo kwa Sababu naamini wao wenyewe mkataba wameona mitandaoni na tumesoma nao shule na vyuo hivihivi, walichobaki nacho nikusengenya nakutukana viongozi wao kwenye vijiwe.
Mara viongozi siyo wazalendo, tumewapa watu wasio na sifa udreva. Bora sukuma gang n.k.
Kwanini msitoke adharani mpinge mawazo ya serikali?