CCM bado awajatoa msimamo wao kwenye huu mkataba, maana yake wanasema Bandari ziuzwe

CCM gani hao unaokutana nao katika hiyo midandamo ?!!!

CCM tumpinge mwenyekiti wetu?!!!

Wanachama wa CCM tuna imani na mh.Rais SSH juu ya mabadiliko ya bandari zetu......

Nia yake ni njema kabisa....mifumo ya TEHAMA ni LAZIMA isomane kati ya TPA na TRA kupitia wawekezaji kwani walioko WAMESHINDWA.....

#SiempreSSH[emoji120]
Mch.Ananja anasema hivi ukianza kuuliza maswali kanisani wewe sio muumini kama unataka maswali uende chuo kikuu, kwa kila kitu unatakiwa kusema Amen, umeelewa hujaelewa nenda utaelewa wiki ijayo.Nanyie mmefikia hapo?
 
Chama cha mapinduzi kipo kimya kuanzia juu mpaka chini, means wao kwao fikra za Mwenyekiti zidumu.

Nasema hivyo kwa Sababu naamini wao wenyewe mkataba wameona mitandaoni na tumesoma nao shule na vyuo hivihivi, walichobaki nacho nikusengenya nakutukana viongozi wao kwenye vijiwe.

Mara viongozi siyo wazalendo, tumewapa watu wasio na sifa udreva. Bora sukuma gang n.k.

Kwanini msitoke adharani mpinge mawazo ya serikali?
M23
 
Kwani kupengele kipi cha mkataba kinasema Bandari iuzwe? Tuanzie hapo
 
Naona Bashe nae baada ya kupigwa Biti kuuza mazao nje.
 
Chama cha mapinduzi kipo kimya kuanzia juu mpaka chini, means wao kwao fikra za Mwenyekiti zidumu.

Nasema hivyo kwa Sababu naamini wao wenyewe mkataba wameona mitandaoni na tumesoma nao shule na vyuo hivihivi, walichobaki nacho nikusengenya nakutukana viongozi wao kwenye vijiwe.

Mara viongozi siyo wazalendo, tumewapa watu wasio na sifa udreva. Bora sukuma gang n.k.

Kwanini msitoke adharani mpinge mawazo ya serikali?
CCM ni majangili tupu
 
Back
Top Bottom