Kuna walioomba na vigezo wamekidhi lakini wameachwa!
Fahamu hicho ndicho kilichotokea kama ulikuwa hujui!
Hivyo vigezo unavyosema wanavyo umevipamaje? Wana vigezo kulinganisha na nani?
Kusoma na kuandika ni kigezo kimojawapo lakini pia kubobea kwenye elimu sio kitu pekee cha kumfanya mwanamke ateuliwe au achaguliewe kwenye nafasi aliyoomba.Nilishakuandikia huko juu kuwa Kigezo cha msingi kimojawapo ni pamoja na elimu na kwa mujibu wa Katiba ni kujua kusoma na kuandika,
Nikakuandikia kuwa lakini wao wako mbali zaidi ya kujua kusoma na kuandika na kwamba wana elimu za juu na wamebobea ,
Achilia mbali vigezo vingine ikiwemo uzoefu wa utumishi wa Umma kwa miaka mingi lakini bado wameachwa,
Sasa utakuwa umenielewa? Au bado?
Au uniambie hao wanaume wengi walioteuliwa wenyewe wana vigezo gani vya kiwazidi hao wanawake waliokatwa?
Kusoma na kuandika ni kigezo kimojawapo lakini pia kubobea kwenye elimu sio kitu pekee cha kumfanya mwanamke ateuliwe au achaguliewe kwenye nafasi aliyoomba.
Inawezekana akawa bora zaidi kwa maslahi ya nchi pale alipo zaidi ya alichoomba au akachaguliwa aliye bora zaidi yake, waliowaweka kwenye mizani wanajua.
Sio kila anayetaka kuwa mbunge atapata sababu ni mwanamke, wacha vyake vichague kwa taratibu zake kwa maendeleo ya taifa
katika siasa vya vyama vingi, kila chama hujitahidi kuingiza kikozi cha kuchukua ushindiCCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli
14.Angelina Mabula
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.
Wanawake jumla wapo 27 lakini bado Ni wachache sana ,zidumu fikra za mwenyekiti wa ccm ? Zidumuuuu.CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli
14.Angelina Mabula
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.
Ufahamu wako usikufanye ukaona wenzio hawana ufahamu.Jitahidi kutafuta maarifa uweze kuimarisha kiwango chako cha ufahamu wa mambo itakuwa kwa faida yako na wengine kwenye jamii na Taifa kwa ujumla!
Tafakari!
Ufahamu wako usikufanye ukaona wenzio hawana ufahamu.
Umepungukiwa sana na ufahamu wa kufahamu kwamba kile Usichokijua kuhusu kuwepo idadi ndogo ya wagombea wanawake ndicho kinachokufanya uone rais Magufuli ana mfumo dume ambao unashindwa kuuthibitisha
Wanawake hawajabagulia kwenye uchaguzi wala hawajanyimwa haki, nenda kawaulize wajumbe kuhusu hao waliokatwa watakufahamisha sababu nawe utaongeza ufahamu
Pole