Uchaguzi 2020 CCM Bukoba Mjini huyu Kamala Kalumuna mliyempitisha mnadhani sisi watu wa Bukoba hatujitambui! Subirini dawa...

Kasiinge waiitu, pigeni chini huyo mwana lumumba na mchagueni huyo mwana CDM ili akawawakilishe vyema bungeni.
Katika majimbo yote hapa Tz kwa Bukoba mjini ccm mtachezea kichapo cha karne.


Hivi huyo diwani wa Ijuganyondo kamala anawezaje kumshinda Chief kalumuna kwenye ubunge hapo ccm jiandaeni kulia tena uzuri sisi Bukoba mjini tunajitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…