secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Ni kweli miji yote mikubwa inayojielewa ie Arusha Mjini,Mbeya mjini Iringa Mjini Bukoba mjini ccm ilishakufa kitamboCcm bukoba mjini ilisha kufa kitambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli miji yote mikubwa inayojielewa ie Arusha Mjini,Mbeya mjini Iringa Mjini Bukoba mjini ccm ilishakufa kitamboCcm bukoba mjini ilisha kufa kitambo
Ni kweli we are so primitive kiasi kwamba ni hiyo basi tu kuwa duniani. Lakini na USa ni hivyo na ubaguzi in the other form and style!Sawa lakini si mambo ya kuendekeza maana ni hatari.
Watu wetu ni wepesi sana ukiwasisimua tu wanalipuka kama moto wa petroli...hata Watusi na Wahutu ni lugha moja lakini waliposisimuliwa tuliuona mziki wake.
Ijuganyondo iko sehemu gani?Ijuganyondo.
Si usubiri sanduku la kura? mbona unatapatapa? umepanick!!!Katika majimbo yote hapa Tz kwa Bukoba mjini ccm mtachezea kichapo cha karne.
Hivi huyo diwani wa Ijuganyondo kamala anawezaje kumshinda Chief kalumuna kwenye ubunge hapo ccm jiandaeni kulia tena uzuri sisi Bukoba mjini tunajitambua.
Si usubiri sanduku la kura? mbona unatapatapa?
uzuri Chadema mumeweka wachaga na wapare Dar es salaam kama wagombea kwa hiyo wajiandae kukiona au sio .Unawaambia akina Halima Mdee si ndiyoKila mtu anabidi agombee kwao ndo maana Makonda kachezea kichapo kikali.
ndioWe unaishi Bukoba kwani?
uzuri Chadema mumeweka wachaga na wapare Dar es salaam kama wagombea kwa hiyo wajiandae kukiona au sio .Unawaambia akina Halima Mdee si ndiyo
miembeniHuko kata gani?
Hiv huyo chief kafanyChief kalumuna angombea chadema ndo meya mstaafu wa chadema ila Kamala Kalumuna ndo kapitishwa ccm sasa Mimi naona hapa chief kashashinda Asubui na Mapema kamala atachezea kichapo kikali.
Hiv huyo chief kafanya nini?Chief kalumuna angombea chadema ndo meya mstaafu wa chadema ila Kamala Kalumuna ndo kapitishwa ccm sasa Mimi naona hapa chief kashashinda Asubui na Mapema kamala atachezea kichapo kikali.
Bukoba hii au nyingine?Mhaya bhana roho mbaya,ndio maana mji wenu unafanana na halmashauri ya nzega.
Hata kama wangemuweka babako bado usingemkubali
Mbona huyo Kamala ni muhaya kabisa tena ni wa bukoba huko. HukoNina imani waliochukua fomu walikua wengi, asilimia kubwa ni wahaya.
Kama kamati kuu imeona Kalumuna ndie anafaa licha ya kutokua Mhaya sidhani kama kuna makosa.
Tatizo lenu msiokua na nafasi za kufanya maamuzi ndio mnaendeleza ukabila, kuna wahaya wangapi walipitishwa na hata kushinda nafasi mbalimbali nje ya Bukoba? Ama nyie ni halali kushinda mikoa ya wasukuma ama wagogo, lakini wasio wahaya hawaruhusiwi kuongoza kwenu hata kama wanavigezo?
Kule ijuganyondo kuna nini. Mbona balabala ya kuelekea kaizirege( kemebos) mbovu sanaMshikaji huyu hata simwelewi kabisa.
Hana ubavu wa kumshinda Chief Kalumuna.Baba yao alikuwa Diwani Kule Ijuganyondo,akaondoka akamwachia mtoto,mtoto amekaa katika udiwani almost miaka 5 sasa anautafuta ubunge.
Chiefu alikuwa meya wa manispaa ya Bukoba,angalau anajua anachokifanya kuliko huyu wa Ijuganyondo.
Mnyauko pia imekomesha mbwembwe zao,, haka kajamii kaovyo sanaHawa jamaa WAZIBA ndio wanaoharibu "image" nzima ya wahaya hadi kuonekana wahaya ni watu wa hovyo! Waziba wabaguzi hadi ile sera ya apartheid nadhani Afrika Kusini walikopi kutoka Buyango....ila Mungu ni wa ajabu sana, pigo la UKIMWI liliwasambaratisha sana kiasi kwamba sasa hivi Buyango wamejaa Wasubi na Warundi!
Aaaaah😀😀😀 jion uje hapa Victoria karibia na Lina's utanikuta hapa mapokezi maana nataka tujue kuhusu kuangushwa kwa kamala.miembeni
Hiv huyo chief kafanya nini?
Mbona stendi bado ya matope?