Uchaguzi 2020 CCM Bukoba Mjini huyu Kamala Kalumuna mliyempitisha mnadhani sisi watu wa Bukoba hatujitambui! Subirini dawa...

Uchaguzi 2020 CCM Bukoba Mjini huyu Kamala Kalumuna mliyempitisha mnadhani sisi watu wa Bukoba hatujitambui! Subirini dawa...

Jambo la msingi hapo bukoba jitahidini kuhamasisha wana cdm woote wajitokeze kupiga kura
Yaani ccm sijui wajumbe wamefanya vichekesho kiukweli yaani wanaleta bwana kamala kupambana na chief aaaah hivi nivichekesho.
 
Katika majimbo yote hapa Tz kwa Bukoba mjini ccm mtachezea kichapo cha karne.

Hivi huyo diwani wa Ijuganyondo kamala anawezaje kumshinda Chief kalumuna kwenye ubunge hapo ccm jiandaeni kulia tena uzuri sisi Bukoba mjini tunajitambua.
Mhaya bhana roho mbaya,ndio maana mji wenu unafanana na halmashauri ya nzega.
Hata kama wangemuweka babako bado usingemkubali
 
So ulisema chief anagombea CDM? Leo imekuwaje tena

Chief kalumuna angombea chadema ndo meya mstaafu wa chadema ila Kamala Kalumuna ndo kapitishwa ccm sasa Mimi naona hapa chief kashashinda Asubui na Mapema kamala atachezea kichapo kikali.
 
Hivi Machifu / walangila bado wapo Bk? Any way sina shaka na kujitambua kwa wana Bukoba.
 
Katika majimbo yote hapa Tz kwa Bukoba mjini ccm mtachezea kichapo cha karne.

Hivi huyo diwani wa Ijuganyondo kamala anawezaje kumshinda Chief kalumuna kwenye ubunge hapo ccm jiandaeni kulia tena uzuri sisi Bukoba mjini tunajitambua.
Mkuu owomkyalo kwani sio haohao wanaCCM wa bukoba mjini ndio wamehusika kumpigia kura na kampa ushindi au kuna udanganyifu umepita hapo?
Ila pia mchakato unaendelea, sio lazima aliyepita kwenye maoni apitishwe na kamati kuu
 
Ubaguzi ni asili, wanachotafuta ni kianzio tu wahalalishe mambo yao.

Hata Mwalimu enzi zake alikuta mzozo huko kundi moja likilalamika kwa nini wameletewa Mgombea "Mziba" (kama nimepatia hilo jina)....ili hali wote ni Wahaya.
 
Back
Top Bottom