Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Wewe sio Mwana CCM Wala sio Wakala bali ni mpuuzi fulani unayefikiri unaweza kukidhoofisha chama kikubwa duniani kama CCM kwa za kipumbavu!Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa.
Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute aibu hii!
Huo ndo uzalendo kwa Chama na Serikali, wawe watiifu watapata malipo zaidi ya hayo wanayolilia.....CCM ni serikaliMawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa.
Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute aibu hii!
Uzalendo ni kushindisha watoto wa watu na njaa kwa siku 10, na ni kwa hawa walio chini tuu ila nyie huko juu uzalendo ni kulipana miposho tuu, mbona hamuutaki kuuishi huo uzalendo mnao imbia wenzenu, hebu msiwe wabinafsi jamanHuo ndo uzalendo kwa Chama na Serikali, wawe watiifu watapata malipo zaidi ya hayo wanayolilia.....CCM ni serikali
Unapanic nini , kwani kuwa CCM ni kukubaliana na kila jambo hata kama lina umiza wengine?mimi sio mwana CCM mpumbavu na wakujipendekeza pendekeza kwa uongo, kwa taarifa yako kiwango cha uanachama wangu ndani ya CCM sidhan kama unaweza kukifikia wewe,na sina hakika kama hata unaijua chupukizi weweWewe sio Mwana CCM Wala sio Wakala bali ni mpuuzi fulani unayefikiri unaweza kukidhoofisha chama kikubwa duniani kama CCM kwa za kipumbavu!
Mitano tenaMawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa.
Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute aibu hii!
Wao wameshiba nyie muwe wazalendoUzalendo ni kushindisha watoto wa watu na njaa kwa siku 10, na ni kwa hawa walio chini tuu ila nyie huko juu uzalendo ni kulipana miposho tuu, mbona hamuutaki kuuishi huo uzalendo mnao imbia wenzenu, hebu msiwe wabinafsi jaman
Ndio ubinafsi huo wa baadhi ya viongozi kuaminisha watu kwamba kunyimwa haki yako ndio uzalendo kwa nchi na chama kitu ambacho si sahihiWao wameshiba nyie muwe wazalendo
Kabisa....haipendeziNdio ubinafsi huo wa baadhi ya viongozi kuaminisha watu kwamba kunyimwa haki yako ndio uzalendo kwa nchi na chama kitu ambacho si sahihi
Acha uoga wa maisha na mazoea,unaona nyie ni daraja tofauti na raia wa taifa hili.kama ni umaskini sii tu wa mnao waita wapinzani.Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa.
Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute aibu hii!
Tena papa anatafuna samaki tena kwa makundi kwani mmoja sii kitu.CCM ni kama samaki tu, wakubwa wanawala wadogo 🤣🤣🤣
Kama wameshindwa kwa taifa je ndani ya wanachukua chako mapema huo utatoka wapi?Waambie wawe wazalendo kwa chama
Na sisi tulikua tu kama wao, ni process tu wanapitia kufikia kwenye minyamaUzalendo ni kushindisha watoto wa watu na njaa kwa siku 10, na ni kwa hawa walio chini tuu ila nyie huko juu uzalendo ni kulipana miposho tuu, mbona hamuutaki kuuishi huo uzalendo mnao imbia wenzenu, hebu msiwe wabinafsi jaman
Hapana hawajalipwa tuwe wakwelili tukisaidie chama isije ikawa fedha zimetolewa na zimeishia kwa watu halafu watoto wa watu wapo kazini wanataabika
Ahahahahaha!!!Unapanic nini , kwani kuwa CCM ni kukubaliana na kila jambo hata kama lina umiza wengine?mimi sio mwana CCM mpumbavu na wakujipendekeza pendekeza kwa uongo, kwa taarifa yako kiwango cha uanachama wangu ndani ya CCM sidhan kama unaweza kukifikia wewe,na sina hakika kama hata unaijua chupukizi wewe
Ubinafsi si kitu chema hata kidogoNa sisi tulikua tu kama wao, ni process tu wanapitia kufikia kwenye minyama