Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ushindi wa Mwabukusi huko Dodoma kwa hakika utaleta mambo mengi ya kufikiri.
Moja, TLS sasa ina vijana na wamemchagua kijana mwenzao.
Pili, uchaguzi huu umefuatiliwa kwa makini karibu sehemu zote nchini.
Tatu, kutumia hila kumzuia Mwabukusi hadi zuio kushindwa Mahakama Kuu, ile ilikuwa kampeni tosha kwa vijana TLS.
Nne, tuna habari kuwa wanasheria karibu wote wa serikali walipewa maagizo kutompigia Mwabukusi, bado Mwabukusi kashinda.
Tano, msimamizi wa uchaguzi, Judge De Mello hakutaka upuuzi wa aina yoyote kuingilia zoezi zima la uchaguzi.
Hapa jamii na CCM ijitathmini, vijana wameanza kuichukua nafasi yao.
The writting is on the wall!
Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274