Pre GE2025 CCM chukua tahadhari, vijana wameanza kuichukua nafasi yao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Ushindi wa Mwabukusi huko Dodoma kwa hakika utaleta mambo mengi ya kufikiri.

Moja, TLS sasa ina vijana na wamemchagua kijana mwenzao.

Pili, uchaguzi huu umefuatiliwa kwa makini karibu sehemu zote nchini.

Tatu, kutumia hila kumzuia Mwabukusi hadi zuio kushindwa Mahakama Kuu, ile ilikuwa kampeni tosha kwa vijana TLS.

Nne, tuna habari kuwa wanasheria karibu wote wa serikali walipewa maagizo kutompigia Mwabukusi, bado Mwabukusi kashinda.

Tano, msimamizi wa uchaguzi, Judge De Mello hakutaka upuuzi wa aina yoyote kuingilia zoezi zima la uchaguzi.

Hapa jamii na CCM ijitathmini, vijana wameanza kuichukua nafasi yao.

The writting is on the wall!

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
 
Nne, tuna habari kuwa wanasheria karibu WOTE wa serikali walipewa maagizo kutompigia Mwabukusi, bado Mwabukusi kashinda.

Tano, msimamizi wa uchaguzi, Judge De Mello hakutaka upuuzi wa aina yoyote kuingilia zoezi zima la uchaguzi.

Hapa jamii na CCM ijitathmini, vijana wameanza kuichukua nafasi yao.

The writting is on the wall!
hadi zuio kushindwa Mahakama Kuu, ile ilikuwa kampeni tosha kwa vijana TLS.💯👌🏿
 
Sina nia mbaya ila sion kama hoja yako ina ukwel sana.
Mwabukusi sio wa kwanza kushinda.
Alishashinda Tundu lisu na Fatma Karume, ilileta tofauti gani??
Kipindi cha kina lisu na fatma, tls ilijulikana na wachache na hata chaguzi zao zilifwatliwa na watu wachache hasa wa husika, ila sahivi mpka mimi uku ushilo nimefahamu bwana, kumbe inawezekana

Mtatoka tu siku moja.
 
Ushindi wa Mwabukusi huko Dodoma kwa hakika utaleta mambo mengi ya kufikiri.

Moja, TLS sasa ina vijana na wamemchagua kijana mwenzao.

Pili, uchaguzi huu umefuatiliwa kwa makini karibu sehemu zote nchini.

Tatu, kutumia hila kumzuia Mwabukusi hadi zuio kushindwa Mahakama Kuu, ile ilikuwa kampeni tosha kwa vijana TLS.

Nne, tuna habari kuwa wanasheria karibu wote wa serikali walipewa maagizo kutompigia Mwabukusi, bado Mwabukusi kashinda.

Tano, msimamizi wa uchaguzi, Judge De Mello hakutaka upuuzi wa aina yoyote kuingilia zoezi zima la uchaguzi.

Hapa jamii na CCM ijitathmini, vijana wameanza kuichukua nafasi yao.

The writting is on the wall!

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Dah wamemuibia kura Nkuba kabisa. Hawa watu noma
 
Kwa mifumo yetu ya upigaji kura za chaguzi,bado sisiemu itaendelea kusumbua.Bro Boni kashinda kwasababu nature ya wapiga kura karibia wote ni elite na ni rahisi kuwa organized kwenye social Media, magroup ya WhatsApp na exposure...... lakini chaguzi za nchi sehemu kubwa matumizi ya social networks ni mdogo,japo on the ground uelewa umeongezeka lakini bado sisiemu inapakutokea kwenye chaguzi.......
 
Back
Top Bottom