Hapa ndio upumbavu wenu ulipo,,!Waambie pia ni wapumbavu maana Samia akisema anataka katiba ibadilishwe wao watakuwa wa kwanza kumpongeza kwa sababu ni wapumbavu...
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, imesema hakuna haja ya kuwa na Katiba Mpya kwa sasa kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 bado inafaa.
katiba sio ndo solution ya mambo.inshu ni nchi na wananchi kuwa kitu kimoja.utaifa na uzalendo.Taifa likiwa na spirit ya utaifa kwanza na uzalendo ,watu watawaza kulijenga taifa na kulilinda kwa udi na uvumba,just like China.Naamini hiyo katiba inayoliliwa na wachache sio kwa muktadha wa kulilinda taifa ,Bali kwa muktadha wa namna ya kupenyeza maslahi ya wazungu.
Niulize hivi kwenye katiba mpya mnataka nini!?
Watashinda tu! Na wataendelea kutawala tu!
Pumbavu zaidi Sana, warudishe pesa zetu zilizotumika kuanzi time ya warioba mpaka bunge la katibaHALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, imesema hakuna haja ya kuwa na Katiba Mpya kwa sasa kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 bado inafaa.
Ukiachana na unafiki utafikia malengo yako!
Upumbavu nao no mzigokatiba sio ndo solution ya mambo.inshu ni nchi na wananchi kuwa kitu kimoja.utaifa na uzalendo.Taifa likiwa na spirit ya utaifa kwanza na uzalendo ,watu watawaza kulijenga taifa na kulilinda kwa udi na uvumba,just like China.Naamini hiyo katiba inayoliliwa na wachache sio kwa muktadha wa kulilinda taifa ,Bali kwa muktadha wa namna ya kupenyeza maslahi ya wazungu.
Kuna siku nyinyi ndo mtalilia katiba mpya. Kumbuka wakati Ni ukuta . Ipo siku mtasema laiti kama tungekubali siku zile walipokuwa wakituomba kwa katiba mpyaNaunga mkono hoja,CCM ni chama mama kukitoa madarakani itakuwa ngumu,ikitokea siku hiyo dunia itasimama,hitaji la wananchi sio katiba Bali ni Maisha bora kwa kila Mtanzania...
Haitatokea hii mkuu,ikitokea ni baada ya miaka 1000 yaani millennium moja .Kuna siku nyinyi ndo mtalilia katiba mpya. Kumbuka wakati Ni ukuta . Ipo siku mtasema laiti kama tungekubali siku zile walipokuwa wakituomba kwa katiba mpya
Umefanya lini research na kugundua wengi wanataka katiba mpya.Futa kauli kuwa katiba inaliliwa na wachache,ama naweunayapata maslahi yako kupitia hii inayonganganiwa na wachache.Katiba mpya tena ya Jaji Warioba ndio mahitaji ya umma wa Watanzania.
Katiba mpya inaombwa Sana na wanasiasa, ukiuliza watakuambia tunahitaji time huruNiulize hivi kwenye katiba mpya mnataka nini!?
Haya maneno mbona yamekuwa kila uchaguzi?Waambie pia ni wapumbavu maana Samia akisema anataka katiba ibadilishwe wao watakuwa wa kwanza kumpongeza kwa sababu ni wapumbavu.
Lakini nawaonya tu msigina katiba ashaondoka katiba itakuwa kaa la moto kwenye uchaguzi wa 2025.
Ccm wajue hakuna tena wa kuwabeba hiyo 2025 uchaguzi utakuwa mgumu kupindukia katika historia ya Taifa letu.
Katiba mpya inaombwa Sana na wanasiasa, ukiuliza watakuambia tunahitaji time huru
Kama wangekuwa wanaiheshimu katiba hii tungewaelewa kidogo, lakini ni kwamba hata hii iliyopo hawaiheshimu sasa hawa ni watu au mapimbi?HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, imesema hakuna haja ya kuwa na Katiba Mpya kwa sasa kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 bado inafaa.
Kwani lile bunge la katiba lilikua ni la kazi gani?Niulize hivi kwenye katiba mpya mnataka nini!?
Kwani lile bunge la katiba lilikua ni la kazi gani?
katiba sio ndo solution ya mambo.inshu ni nchi na wananchi kuwa kitu kimoja.utaifa na uzalendo.Taifa likiwa na spirit ya utaifa kwanza na uzalendo ,watu watawaza kulijenga taifa na kulilinda kwa udi na uvumba,just like China.Naamini hiyo katiba inayoliliwa na wachache sio kwa muktadha wa kulilinda taifa ,Bali kwa muktadha wa namna ya kupenyeza maslahi ya wazungu.