J Janja weed JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 3,527 Reaction score 6,306 Jun 4, 2025 #41 ili iweje sasa kwani alivyofanya havimsaidii? ama havimuuzi kwa watu?
Zombi Mweusi JF-Expert Member Joined Feb 9, 2017 Posts 1,088 Reaction score 2,231 Jun 4, 2025 #42 Sasa tuseme mazuri yapi wakati hatuyaoni
Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,697 Reaction score 4,914 Jun 4, 2025 #43 Kumekea huu uvunjifu wa demokrasia je?
K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 1,289 Reaction score 2,199 Jun 4, 2025 #44 Tulinde AMANI. Tunaelekea kubaya.
Kizibo JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 4,617 Reaction score 10,524 Jun 4, 2025 #45 CHIEF PRIEST said: Watanganyika watekwe na na kupotezwa watu wakae kimya wakisema ukweli nani mtekaji inakuwa nongwa. Hizi damu za Watanganyika lazima zitalipwa tu . Click to expand... Haziwezi kulipwa kwa maneno tu au kwa wishful thinking. Inatakiwa vitendo. Inataliwa watz tuungane tukinukishe kweli kweli. Wao Wana dola, sisi tuwe na umoja wa dhati halafu tuone mshindi atakuwa nani!!! Mbona wenzetu Kenya wanakinukisha Hadi watawala wanawasikiliza matakwa yao, sisi tunashindwa Nini?? Tatizo watz tunajidanganya kuwa jukumu la ukombozi Ni la wapinzani. Jukumu la kuipigania nchi na raslimali zake Ni letu wananchi tuamke tuache uoga. Tukiendelea kuwa waoga watatuzoea Sana hawa wanasiasa
CHIEF PRIEST said: Watanganyika watekwe na na kupotezwa watu wakae kimya wakisema ukweli nani mtekaji inakuwa nongwa. Hizi damu za Watanganyika lazima zitalipwa tu . Click to expand... Haziwezi kulipwa kwa maneno tu au kwa wishful thinking. Inatakiwa vitendo. Inataliwa watz tuungane tukinukishe kweli kweli. Wao Wana dola, sisi tuwe na umoja wa dhati halafu tuone mshindi atakuwa nani!!! Mbona wenzetu Kenya wanakinukisha Hadi watawala wanawasikiliza matakwa yao, sisi tunashindwa Nini?? Tatizo watz tunajidanganya kuwa jukumu la ukombozi Ni la wapinzani. Jukumu la kuipigania nchi na raslimali zake Ni letu wananchi tuamke tuache uoga. Tukiendelea kuwa waoga watatuzoea Sana hawa wanasiasa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 4, 2025 #46 Duh aiseee