CCM Fahamuni kabisa: Kilichofanywa na Asha Rose Migiro ni uhaini na atakilipia

Unaweza kutuwekea ushahidi wa umakamo wa pili wa Raisi wa Jumbe ??

Naona unadanganya vijana mchana kweupe na ndoto zako

Aboud Jumbe alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, si Makamu wa Pili, wakati alipojiuzulu mwaka 1984.

Ofisi ya Makamu wa Rais wa Tanzania inaeleza wazi kwamba Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na pia Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kuanzia 1972 hadi 1984.

Aboud Jumbe: Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania — 1972–1984
Rashid Mfaume Kawawa:
Makamu wa Pili hadi 1977
Baada ya 1977, mfumo uliendelea kuwa na Makamu wa Kwanza na wa Pili, lakini Jumbe mwenyewe alikuwa wa Kwanza.
Alijiuzulu nyadhifa zake zote tarehe 29 Januari 1984, zikiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Muungano na Rais wa Zanzibar.
 
Nafahamu fika kwamba CCM hawawezi kujali.

Ila naandika tu kuwaonya mapema kabisa, ili siku watakavyoanza kuchinjwa kama kuku wasiseme ni chuki dhidi ya Uzanzibari au Uislamu, bali dunia ifahamu tutakuwa tunashughulikia wahaini.
​
Hii Paragraph inatia Sana matumaini tabaka la WANYONGE.
 
Hii Paragraph inatia Sana matumaini tabaka la WANYONGE.
Huyo anaandika hivyo yuko nje ya nchi , akisikia kuna zoezi la usafi tu la vikosi vya ulinzi , anaanza kuharisha na huhama mjini. Akimsikia kamanda Wambura tu anakohoa basi anaanza kujamba mfululizo. Hamna kitu hapo
 
Na kwa kuwa hajulikani alipo hadi sasa,Serikali itueleze yupo wapi
 
Mkuu usijifie ukatili wanaofinyia binadam mwenzo kwa kutofautina mawazo
 
Na kwa kuwa hajulikani alipo hadi sasa,Serikali itueleze yupo wapi
Waanze kutueleza walipo, akina Saleh Saadala, Othmani Sharifu , Twala, na maelfu ya watu waliokuwa wakikamatwa majumbani usiku na hawakuonekana tena kuanzia 1964 huku Zanzibar baada uvamizi wa Nyerere mpaka hawa akina Ben Saanane na wengine wa Chadema , watueleze wako wapi
 
Kwa nijuavyo chama cha majambazi hata kwa hiki walichokifanya basi kuna pahali pakubwa sana kuna vitu Nchimbi aliwagomea na kwenda kinyume nao, sio kawaida hadi wakifikia huko kwa mtu aliyekuwepo chamani muda mrefu kama Nchimbi.

Zile audio za akina Kinana na Makamba wakimnanga jiwe zilivyovuja waliitwa kwenye kikao kama Nchimbi wakaenda ila aliyegoma kuomba msamaha akabaki Membe akafukuzwa 2020 .

Ninaamini bado kuna kitu kikubwa Nchimbi alifanya hadi wamefikishana hapo.
 
Huyo anaandika hivyo yuko nje ya nchi , akisikia kuna zoezi la usafi tu la vikosi vya ulinzi , anaanza kuharisha na huhama mjini. Akimsikia kamanda Wambura tu anakohoa basi anaanza kujamba mfululizo. Hamna kitu hapo
Sawa.
Hoja haipigwi nyundo mkuu
 
Yule ni mtumishi wa Umma watu wanasahau ilo ukishakua mtumishi wa umma wewe unakua ni mali ya Umma pia umma una haki ya kujua kwanini amejiuzulu kama ni kodi zilipwa na Umma kuwatunza kuanzia rais na makamu wake kila palipo na kura ya Rais kuna ya makamu wake kila paliko na kula na Makamu kuna ya Rais watu wanachukulia poa aya mambo ni ya kuyachukia aya matendo ya kukemea Samia angeweza kucheza smart na kulamiliza mada wake akiwa na makamu wake nchimbi angalua CCM kwa hoja za Makamu zilikua zinarudi CCM kujadiliwa na watu midomoni mwa watu katiba
 
chama cha mapinduzi kwa hakika hupambana sana kumpa rais nguvu kubwa, maneno yaliyopo kwenye toleo la kiswahili yanasikitisha sana, na jambo hili ni dhahiri walijiandaa nalo kabla uchaguzi wa vyama vingi Sheria ya 1994 Na.34 ib.11
 
Mbona ilikuwa ikisemwa zamani kuwa kuna Yuda au mumesahau??
 
kwenye kuenguliwa kihuni kwa namna hiyo rais amelindwa, ila makamu katiba inaonesha anaweza enguliwa kihuni
 
Dah! Umelia sana lakini hata sisi tunaijua Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Makamu wa Rais HANA immunity yoyote.
 
Huwa najiuliza
Samia akifa leo kabla ya tarehe 4 , Rais anakua Ndejembi au anakua Nchimbi?
Maana Nchimbi tayari amefukuzwa uanachama na Chama chake kwa hiyo nafasi ya Rais inataka adhaminiwe na chama
Nauliza tu mkuu
Mtu aliyechaguliwa na wapiga kura akifukuzwa uanachama na chama kilichomdhamini, Tume ya uchaguzi ndio inatangaza kuwa kuna nafasi wazi. Sasa nafasi ya Makamu wa Rais mpaka sasa haijatangazwa kuwa ipo wazi, vinavyoendelea ni uhaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…