CCM Fahamuni kabisa: Kilichofanywa na Asha Rose Migiro ni uhaini na atakilipia

No one is sure that he has been detained and there is no assurance that his resignation was involuntary. As you are trying to claim, i can assure you that, its political sentiments and political pomposity.
antimatter
 
Hapo ndio nakosa kuelwa kabisa CCM wananguvu gani za kumtoa
MKUUU JE KWA MFANO AKISEMA TAR 4 HYO NARUDI MADARAKANI BARUA YANGU NAIFUTA JE ATAKUBALIWA MWENYE KUJUA NAOMBA KUJIBIWA WAKUUU
Hii iliwezekana kwa Lipumba na CUF yake tu, kwa kesi hii sizani maana ikulu ilishamkubalia
 
Sasa ukitaka kuchambua Kitu usiangalie Mbele hautapata kujua utaongea Kwa Hisia na sio uhalisia,

Fatilia Kila Kitu ujue mfumo unavyo fanyakazi na unavyo takiwa kufanya Kazi ndio utoe maoni Kwa Uzuri utawasaidia na Wengine.
Aangalie uhalisia na sio katiba tena?! Kuna ujinga fulani ulianza hasa wakati wa Magufuli wa kuona matakwa ya rais ndio katiba. Huu ujinga ndio umesababisha vyombo vya dola kushiriki uhalifu wa kimachomacho, ikiwemo kupora chaguzi kwa maagizo ya mwenyekiti wa ccm. Ni vizuri sasa hata wanaccm wameanza kufikiwa na uchafu waliouacha ukamea dhidi ya katiba. Mfano halisi wa wanaccm waliokutana na matumizi mabaya ya madaraka ni Lowassa, Sumaye, Polepole, Nchimbi, Nape nk.

Siku yatapatikana mabadiliko hasa baada ya umwagikaji wa damu, tutakufunilia huu uzi ujue watu waliku wanasema nini kuhusu katiba, na sio huo ulevi wa madaraka wa rais.
 
Ni suala la muda tu......

Lakini CCM wamepigwa na kitu kizito ambacho hawajaamini......
​
 
Nimesoma maandiko yako kadhaa since October 2025, ni kama unamuepusha na lawama Rais Samia na sijui ni kwa nini. Aliyeshinikiza na kumtoa Nchimbi ni Rais, wewe jumba bovu unataka kumuangushia Migiro. Sikuhizi maandiko yako yanajikita kuchepusha ukweli kwa wahusika wakuu.
 
Watu wengi hawajui mfumo wa vyama vingi vya siasa unavyo fanya Kazi,

Hiyo inapelekea jaziba kwenye maneno na mshauri Yao ambayo ukiyapima kwenye uhalisia hayapo Sawa.
 
Shida imeanzia kwa kifimbo alijirundikia kila madaraka ya uraisi kwenye katiba mpaka akawa kama mungu na nchi ni maIi yake
Sasa nafasi ya uraisi imeshikwa na mwehu kwa katiba ileile na mamlaka yaleyale
 
Wamefanya mambo kwa mhemko patience is virtue sijui wamefanya kumkomoa nani asee wangesubiri akabidhi ofisi then ndo wamvue uanachama sasa what if Nchimbi akigoma kukabidhi ofisi uyo Ndejembi atakuwa amejikabidhi kijiti toka kwa nani, makamu yupo pale kwa ushindi wa wananchi kwaiyo ni kumpokeza ule ushindi licha ya kuteuliwa na bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…