CCM Fahamuni kabisa: Kilichofanywa na Asha Rose Migiro ni uhaini na atakilipia

Mama alishakanyaga miwaya siku nyingi. Maisha yalishalipiza kisasi. Muache atumie dawa, apumzike.
 
Andiko km hilo ni nadra sana kulikosa kuandikwa na walamba mavi wa kahaba Chura...
 
Uko sawa!

Ila naomba unijulishe haya yafuatayo kimantiki na kisheria:

Hivi, Mzee Nyerere angefariki mwaka 1984, unataka kusema Jumbe angekuwa Raisi ?

Katiba ilikuwa inasemaje kuhusu hili, na Waziri Mkuu alikuwa na cheo gani kabla ya 1995.
​
 
Prof Palamagamba Kabudi na Hamza Johari wameliingiza taifa kwenye korongo!

Ushauri wao siyo sahihi na umepuuza malengo(The Intention) ya watunga katiba.
​
 
Nimekuwa nikijiuliza swali kama hili.Rais na makamu wa rais hawatakiwi kuondolewa na chama bali na wananchi kupitia bunge au mahakama. kama sivyo ,basi katiba iliyopo ni mbovu sana. rais na makamu wa rais ameteuliwa na wananchi siyo chama au kundi fulani.
 
Uzuri wa Tanzania ni huu:

Hakuna kiongozi mkubwa aliwahi kufanya jambo haya halafu lisimrudie....

Alianza Nyerere na kina Karume, Sokoine, Kolimba, Babu, Kambona naye yake ikafika...

Mnyasa Karume naye aliwafanyia wenzake kina Hanga unyama, lakini zake zikafika...

Akaja Mkapa na kina Nyerere, Kombe, Babu, Kambona naye yake ikafika.....

Akaja Magufuli ambaye alikuwa kama kapagawa pepo kwa ukatili, naye yake ikafika....

Kulikuwepo na Edward Lowassa ambaye alikuwa mtoto wa mjini haswa, yake ikafika....

Kulikuwepo na Benard Membe ambaye alikuwa anajihisi yeye ni James Bond, yake ikafika

Kulikuwa na Samweli Sitta ambaye ni MTANDAO ila zake zilifika na aliishi vibaya mno...

Sasa kwamba JAKAYA + SAMIA, ndiyo wawe wa tofauti kwenye hii orodha ???

Nchimbi, Ndugai, Polepole, Majaliwa, kuna kipindi walishawahi kuwa sehemu ya huu mfumo dhalimu ambao leo hii umegeuka kuwa zimwi ambalo linawatafuna..

=========================================================================

ALI HASSAN MWINYI ndiyo atakuwa Raisi pekee wa Tanzania kufa kifo cha kawaida (Natural Death) tofauti na wenzake.Ni suala la muda tu.........

Nature has a nastiest way of recalibrating itself, so watch the hawks.....
​
 
Nilishtuka sana nilipoona katibu wa ccm anatamka wazi kwamba tayari wamependekeza jina la Makamu wa Rais...
Kinyumbe kabisa na ibara za Katiba ya mwaka 1977.
ccm kwa sasa ni ukoo wa mafisi. Wasipodhibitiwa WaTanganyika tutaendelea kuumia!
 
Uko sawa!

Ila naomba unijulishe haya yafuatayo kimantiki na kisheria:

Hivi, Mzee Nyerere angefariki mwaka 1984, unataka kusema Jumbe angekuwa Raisi ?

Katiba ilikuwa inasemaje kuhusu hili, na Waziri Mkuu alikuwa na cheo gani kabla ya 1995.
​

Umeuliza vizuri, lakini tutenganishe mambo mawili: cheo cha Makamu wa Kwanza na utaratibu wa kumrithi Rais.

Mimi sikusema Jumbe angekuwa Rais moja kwa moja kama Nyerere angefariki. Nilichosema ni kwamba Aboud Jumbe alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, si Makamu wa Pili.

Kabla ya 1995, Tanzania ilikuwa na Makamu wa Kwanza, Makamu wa Pili na Waziri Mkuu. Kwa hiyo kama unaamini Jumbe alikuwa Makamu wa Pili, tuonyeshe kifungu cha Katiba ya wakati huo kinachosema hivyo.

Kuhusu kama angekuwa Rais baada ya kifo cha Nyerere, hilo linahitaji kuangalia Katiba ya 1984, si kudhani kwa kutumia mfumo wa leo.

Kwa kifupi nashukuru umekubali kwanza cheo cha Jumbe kilikuwa Makamu wa Kwanza;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…