IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,226
- 1,919
Hupo sahihi,kuna wafuasi wengi humu wana mapenzi ya kupindukia.JF ya miaka ile tulijadili mambo kama haya. JF ya leo inashabikia hata kama hakuna mantiki. Kuna mtu hapa JF aliuliza akitaka kuelezwa kama kweli hadi leo hii, mwaka huu, kwa mfumo huu wa nchi, kuna chama cha upinzani kinategemea kushinda uchaguzi? Wapo wapiga kelele kama hawana vichwa , wakaripuka! Wengi wao wako CHADEMA, wanaamini kila anayekosoa CDM ni CCM. Hata wabunge wao walipowakosoa, wao wakasema hameni kama munataka. Kuna umbumbumbu ndani ya chama kiasi kwamba huwezi kuwashauri. Ukweli hawatapata nafasi ya kushika dola.
Sasa wanasema tutaibiwa, ambao ni umbumbumbu pia. Kama unajua utaibiwa kwa nini uliingia kwenye uchaguzi? Unajua uwanja hauna magoli wewe unaingia na kupoteza muda wako kiasi hicho, huku ukijiandaa kulalama! Stupidity of highest order!
Magufuli kamweka mtoto wa dada kama mtia saini wa pesa zote za serikali!Bila hata kutumia neno upuuzi, hivi nawe unaamini TZ inaweza tawaliwa na chama kama CHADEMA? CUF?, ACT?, TLP? DP? nk. Hebu nichagulie chama unachoona kinaweza tawala TZ mwaka huu 2020. Hawa akina LIssu tulioona wanaingiza dada zao Bunge la katiba? Hawa akina Zitto walioingiza mama zao bunge la Katiba? Hawa akina Mbowe wanaoumia usiku wa ulevi ktk umri huo?
CCM ni sawa na chuma chakavu!Kimepoteza mvuto kwa watumiaji na kimebaki screpa!Wapinzani njaa.akuna wa kuitisha CCM.
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga,usipoyaoga yatakulowesha kwa mvua.
Chadema ni Saccos. Hivi uongozi wanajifunzia wapi hawa watu?. Yani kule kuwa mnadhimu wa kambi ya upinzani anadhani anaweza ongoza nchi?. Viongozi karibu wote kwenye ile saccos ni vilaza wa hali ya juu kabisa. Membe ni bora kuliko Lissu, kwa weledi wa uongozi ila ndo vile tena yupo kwenye saccos ndogo isiyo na influence.Hufai wewe...katika vyama bora Africa CCM ni namba one, wakifuatiwa na ANC
Ondoa utopolo huu humu.Hawa wanaojiita upinzani wako hoi, taaban. Hawajitambui kabisa
Ccm haifai, period. Hili genge ni ovu kuliko hata wakoloni asiliaKila mtu analia na lake. CCM ni system, Magufuli ni kiongozi wa system. Kipi unakiona hakifai. Kwa taarifa yako, ni kheri CCM mara 1000 kuliko kikundi cha wajasiriamali wachache wanaounda saccos pale Ufipa. Usipoteze kura yako, chagua JPM.
Ni kweli na tuna mifano ya watu wa aina hiyo, lakini ukifuatilia siyo watu wa aina ya Lissu. Ignorance aliyonayo Lissu juu ya Dunia na nchi ni kubwa sana! Ndo maana ulimuona anazunguka ulaya akiamini ndo support ya kumfanya mtawala iliko. Yupo na Nyarandu aliyehamia huko aliyesema Marekani wanataka mimi niwe rais wa TZ.Serikali ya wananchi kwa ajili ya wananchi haihitaji uzoefu msingi wake ni haki, heshima umoja na amani. Ondoa ukiritimba wa kufikiri viongozi wanatoka mawinguni au ukoo au chama fulani bali kwa wananchi
Hawafai, fine! nani achukuwe nafasi? CUF, TLP, DP, CDM? Woote hawa ndo hoi kabisa!Ccm haifai, period. Hili genge ni ovu kuliko hata wakoloni asilia
Kwa nini watu wa Kagera wanapenda kuuza kahawa yao Uganda badala ya Tanzania.Ni kweli na tuna mifano ya watu wa aina hiyo, lakini ukifuatilia siyo watu wa aina ya Lissu. Ignorance aliyonayo Lissu juu ya Dunia na nchi ni kubwa sana! Ndo maana ulimuona anazunguka ulaya akiamini ndo support ya kumfanya mtawala iliko. Yupo na Nyarandu aliyehamia huko aliyesema Marekani wanataka mimi niwe rais wa TZ.
Lissu amefikia hatua ya kuahidi kuruhusu watu wa Karagwe kuuza kahawa Uganda. Namuona kama mtu mwenye ufahamu mdogo sana. Inavyoonekana agenda yake mfukoni ni kurekebisha sheria tu! Baada ya marekebisho hayo, hatujui kitafuata nini, Sisi tunahitaji maendeleo! sasa sijui kama sheria zinaleta maendeleo.
Kwahiyo ulitaka wasishiriki uchaguzi ?JF ya miaka ile tulijadili mambo kama haya. JF ya leo inashabikia hata kama hakuna mantiki. Kuna mtu hapa JF aliuliza akitaka kuelezwa kama kweli hadi leo hii, mwaka huu, kwa mfumo huu wa nchi, kuna chama cha upinzani kinategemea kushinda uchaguzi? Wapo wapiga kelele kama hawana vichwa , wakaripuka! Wengi wao wako CHADEMA, wanaamini kila anayekosoa CDM ni CCM. Hata wabunge wao walipowakosoa, wao wakasema hameni kama munataka. Kuna umbumbumbu ndani ya chama kiasi kwamba huwezi kuwashauri. Ukweli hawatapata nafasi ya kushika dola.
Sasa wanasema tutaibiwa, ambao ni umbumbumbu pia. Kama unajua utaibiwa kwa nini uliingia kwenye uchaguzi? Unajua uwanja hauna magoli wewe unaingia na kupoteza muda wako kiasi hicho, huku ukijiandaa kulalama! Stupidity of highest order!
Tanzania ya 1961 ilikuwa ile yenye injinia 2, madaktari 2, n.k. Tanzania ya leo 2020 yenye graduate 500000 kwa mwaka unatuletea chama cha viongozi wa form 6!!!!!!!!!!!!!!!!! Rubbish!Mkuu TANU and Co walivyo chukua nchi walikuwa wamewahi kushika ofisi?
Upinzani ni debe tupu linalovuma upepo.
CCM ni imara kwa maendeleo ya Tanzania
Nakumbuka sana! Ila naelewa kwamba kila mtu ana ignorance ya aina fulani ktk maisha yake. Tunataka watu wawe na ufahamu lakini ule ufahamu wenye manufaa. Kuniambia ibara ya 15 ya katiba inasema hivi na vile sioni kama ni uelewa utunaouhitaji ktk kuendeleza nchi, haina tofauti na kuniuliza mkwawa alipigana mwaka gani, what for? Ukitaka JF ya kuelimishana njoo kwa mjadala. Ukitaka JF ya kampeni na ushindi wa Lissu kuwa rais wa mtandaoni, nasema sina muda ila ataishia kulialia kwa madai ya kuibiwa kura.Kwa nini watu wa Kagera wanapenda kuuza kahawa yao Uganda badala ya Tanzania.
Na unakumbuka kuna mtu aliwahi kusema Saddam alikuwa rais wa Libya kabla ya kubadili na kusema, "Hapana alikuwa rais wa Kuwait rais wa Libya alikuwa Gaddafi", sasa huyo ndio mwenye uelewa wa mambo. Huna hoja.