CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

hivi CUF huku bara haijageuka ACT kama kule zenji?
CUF is no more kaka. Ni Briefcase party kwa sasa. Dola iliishaimaliza. Kwa huku bara ni joka la kibisa.
 
Reactions: Lax
Ukafie mbali! Shetani maana yake ni huyo mama yako ambaye hakukufunza maadili unasapoti ushoga bila aibu eti kwanini usiutetee? F*ck you
Tuliza mhemko bwashee, kwani shida nini ati?
😂😂😂
 
Na walivyo hamnazo wanamchangia. Wakidhani wanapambana na CCM au serikali kumbe ukute dudu naye anatumwa kupoteza watu maboya
Kumbe ukute. I thought you guys mko na hakika na mnachokisema.
 
Uko sahihi sana, kuna mwana ccm anamtetea lissu kwa kuwa wote ni wanyiramba na wanatokea Ikungi.
 
Leo nchi nzima vibanda vimevunjwa Leo vijana na w mama hawajafanya biashara wanakula mtaji tu ila utawakuta wanachangia mamba 🐍
 
Robert tangu juzi unapinga sana harakati za dudu baya tena kwa nguvu kubwa mno na unaungwa mkono sana na bichwa,coca and Others je na wewe ni Miongoni mwao? Mashoga munaanza kujitokeza mmoja mmoja kwa vilio tofauti. Nilikuwa nakuheshimu sana ila kama unanyonya ****** bsi kaka gudibai
 
ilikua strong sana coast
Yah Tanzania nzima. Before CHADEMA was CUF, before CUF was TLP, before TLP was NCCR. Nakumbuka 1995 tuko primary, Mrema alikuja Tabora, mji ulisimama. 2005 CUF ilikuwa ndio habari ya Taifa, 2010 CHADEMA ndio walianza kukiamsha. Nilichowasifu CHADEMA walianza recruit damu mpya kwenye siasa ya vijana wa vyuo. Na kikwete alikuwa fair kiasi, siasa vyuoni zilikuwa sana + emergency ya bodaboda hiyo early 2010 hawa jamaa walikuwa na mchango mkubwa katika kuwabadilisha wanavijiji kiasi fulani. 2015 mambo yaligeuka vibaya sana.
 
Reactions: Lax
Nchi zenye idadi kubwa na zinasupport mashoga, wasagaji nk.

1. United States
2. Canada
3.Sweden
4.United Kingdom
5.Australia
6.Israel
7.Germany

Nitaishia hapo , utakavyoamua kuelewa ndo hivyo hivyo!
 
sema ccm isipoanguka hapa kwa samia, nadhani itachukua miaka mingine mingi kidogo
 
Akili mnemba
 
Msimamo wa dudu baya, ndio msimamo wangu 😂
 
Hakuna wa kuitoa CCM ktk nchi hii, acha kujidanganya bwashee, watakucheka wenzio.

Mbaki kubwata mitandaoni basi, hilo ndio mnaweza.
Tatizo watu tunachukua muda wetu binafsi wakuishi duniani na kuulinganisha na muda wote wa ulimwengu kana kwamba Kila kitu kinajipambanua Kwa Kwa mzunguko wa umri wako duniani wakati ni micro point tu. Ni makosa na uono dhaifu mno. Kama kitu kilizaliwa kitakufa tu. Nchi inazaliwa na kufa, lugha inazaliwa na kufa. Sembuse chama? Kinawezaje kuwa na umilele kitu Chenye mwanzo, Sasa ni Mungu huyo.
 
Ujuaji
Wingi. Hizi ni presapossions tu. Kama ile uloandika October 25.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…